MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,304
Unatesea ukiwa wapi we kolo,ahaaaaaHakika Watanzania hawana shukrani kabisa badala ya kuimiminia PONGEZI za DHATI Nchi ya ALGERIA kwa kutubeba ktk Mchezo wa jana bila AIBU tunaipongeza TAIFA STARS kwa kufuzu baada ya kutoka SARE na TIMU NGUMU iliyoamua KUTOIFUNGA TAIFA STARS kwani ilikuwa na UWEZO kwa kuifunga TAIFA STARS hata MAGOLI 10
Binafsi NAIPONGEZA SANA ALGERIA kwa MOYO wa HURUMA wa KUTUBEBA
Pamoja sana mkuuNidhamu, juhudi, nguvu, umoja, uthubutu, na mshikamano, maamuzi sahihi yenye busara ndani yake, ndivyo ilifanya timu ya Tanzania Taifa stars, kufanya vyema dhidi ya mchezo wa Jana na Algeria.
pongezi kubwa kwa nchini yangu ya Tanzania. Kwa pamoja hatushindwi jambo.
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔Hahahahaaaa
Kwa ulimwengu huu wa betting hiz ndo baadhi ya mechi zinazouzwa ili watu wapigwe helA
Kwahyo wakupongezwa ni kampuni za betting
Out of point.Siku hizi upangaji wa matokeo unapingwa sana kwa hiyo mechi za upangaji matokeo zinachezwa kwa mbinu kali sana na inabidi uwe na jicho la ziada kuziona. Ukitaka kujifunza upangaji wa matokeo wa siku hizi ulivyo angalia mechi za Yanga vs Singida au hata Yanga vs Azam hata za msimu ulioisha tu.
hilo liko wazi,kocha wa taifa star ni m algeria,wamembeba ndugu yao,kibarua kisiote nyasi..
Hakika Watanzania hawana shukrani kabisa, badala ya kuimiminia pongezi za dhati nchi ya Algeria kwa kutubeba katika mchezo wa jana bila aibu tunaipongeza Taifa Stars kwa kufuzu baada ya kutoka sare na timu ngumu iliyoamua kutoifunga Taifa Stars, kwani ilikuwa na uwezo kwa kuifunga Taifa Stars hata magoli 10.
Binafsi naipongeza sana Algeria kwa moyo wa huruma wa kutubeba.
Naendelea kutofaitisha ushabiki halisi na uhuni. Huu hapa ni uhuni mchundo. Jana Taifa stars imeshambuliwa zaidi ya mara 10 na Algeria na mashambulizi manne Kati ya hayo yalikuwa ya hatari. Lakini anajitokeza Mbumbumbu mmoja anasema Algeria hawakuwa serious.
Hakika Watanzania hawana shukrani kabisa, badala ya kuimiminia pongezi za dhati nchi ya Algeria kwa kutubeba katika mchezo wa jana bila aibu tunaipongeza Taifa Stars kwa kufuzu baada ya kutoka sare na timu ngumu iliyoamua kutoifunga Taifa Stars, kwani ilikuwa na uwezo kwa kuifunga Taifa Stars hata magoli 10.
Binafsi naipongeza sana Algeria kwa moyo wa huruma wa kutubeba.
Kivipi sasa?Out of point.