Beberu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 4,548
- 9,740
Mzee tungekuwa tunakaribiana na nani 🤔😂😂🙌🙌Tanzania ina vipaji vingi sana sana vya mpira. Mimi ni mkongwe na nimeanza kusupport timu yetu ya taifa pengine hata kabla wewe hujazaliwa au ukiwa mdogo sana. Nilichogundua ni kuwa kujidanganya timu yetu ni bora wakati haiko hivyo ni ujinga. Serikali ingekuwa imewekeza kwenye kuendeleza vipaji tangu utotoni tungekuwa tunakaribiana na Brazil. Badala yake viongozi wanadandia bogi kila wanapoona fursa ili kujipatia umaarufu wa rahisi na kupumbaza wananchi.
Hata ENGLAND licha ya uwekezaji wote ule hakaribiani na Brazil ndo leo Tz tukaribiane na Brazil 🤔😂😂