Bila huruma ya Algeria Taifa Stars isingefuzu, tuipongeze Algeria sio Taifa Stars

Bila huruma ya Algeria Taifa Stars isingefuzu, tuipongeze Algeria sio Taifa Stars

Yaani ule msako wa goli ulivokuwa , bado Kuna mjinga aathubutu kusema walitubeba! Aisee hebu tuache utani! Taifa Stars walikuwa wamejipanga kulinda na kushtukiza... Lakini Ile haikuwa kulinda Bali kuokoa! Bila kupepesa macho Utopolo Wana beki nzuri.. Mwamnyeto na Baka, Kiungo walivhafua na kuchafuka, .. Angalau naweza kumwelewa atakayesema .. tulibahatisha ... Kwakumwagq jashonna damu!
Acheni utani aisee...Mimi hadi nilibinya pumbu baada ya jamaa kufanya sub za kikatili hasa dakika ya 68 alipoingia MAHREZ!
 
hilo liko wazi,kocha wa taifa star ni m algeria,wamembeba ndugu yao,kibarua kisiote nyasi..
Soka ni mchezo wa mbinu. Ikiwa hii mbinu imetutoa basi tuendelee kuitumia.

Mashindano yajayo, hakuna kuchukua kocha kabla makundi ya Afcon hayajapangwa. Tukipangiwa na mbabe yeyote tunaenda kuchukua kocha huko huko kwao.
 
Kila mmoja aliiona mechi,Ni wazi Algeria walikuwa wanatafuta Bao kwa uchu mkubwa
Juhudi za kocha,Wachezaji Zimesababisha Ushindi
 
Hakika Watanzania hawana shukrani kabisa, badala ya kuimiminia pongezi za dhati nchi ya Algeria kwa kutubeba katika mchezo wa jana bila aibu tunaipongeza Taifa Stars kwa kufuzu baada ya kutoka sare na timu ngumu iliyoamua kutoifunga Taifa Stars, kwani ilikuwa na uwezo kwa kuifunga Taifa Stars hata magoli 10.

Binafsi naipongeza sana Algeria kwa moyo wa huruma wa kutubeba.
Waaarabu hao . Wanawatengenzea njia DPW
 
Ungekuwa mpole na mwenye unyenyekevu ningekuelimisha ila kwa kuwa unajitutumua kifua nakuacha
Sipo tayari kujifunza vitu vya hovyo , unaongozwa na mhemko pamoja na ushabiki wangu wa Simba huwezi niambia eti Azam walijifungisha kwa Yanga
 
Sipo tayari kujifunza vitu vya hovyo , unaongozwa na mhemko pamoja na ushabiki wangu wa Simba huwezi niambia eti Azam walijifungisha kwa Yanga
Mbona umeichagua tu Azam umeiacha Singida?
 
Siku hizi upangaji wa matokeo unapingwa sana kwa hiyo mechi za upangaji matokeo zinachezwa kwa mbinu kali sana na inabidi uwe na jicho la ziada kuziona. Ukitaka kujifunza upangaji wa matokeo wa siku hizi ulivyo angalia mechi za Yanga vs Singida au hata Yanga vs Azam hata za msimu ulioisha tu.
Yaani wewe ndo mwendawazimu kabisa.
 
Nidhamu, juhudi, nguvu, umoja, uthubutu, na mshikamano, maamuzi sahihi yenye busara ndani yake, ndivyo ilifanya timu ya Tanzania Taifa stars, kufanya vyema dhidi ya mchezo wa Jana na Algeria.

pongezi kubwa kwa nchini yangu ya Tanzania. Kwa pamoja hatushindwi jambo.
Chama chajiuza, kibaya chajitembeza. Kama ni timu nzuri itaonekana kwenye fainali. Na kama ni timu mbovu itaonekana. Uzuri ni kuwa mpira siyo siasa useme kuwa mwenye porojo nyingi ndiye mshindi.
 
Mbona jamaa walikua wanatafuta goli kwa nguvu sana..
Mpaka mashabiki kwa hasira wakaanz kutupa chupa uwanjani?
 
Sasa mtu anakwambia Algeria wametuachia si chizi huyo, mpaka Marhez wamemuingiza wanataka magoli.

Kwanza walivyojazana uwanjani full house wale ni watu wa kumbeba mtu?
😂😂😂 kuna watu yaani basi tu soka wamejulia ukubwani
 
Chama chajiuza, kibaya chajitembeza. Kama ni timu nzuri itaonekana kwenye fainali. Na kama ni timu mbovu itaonekana. Uzuri ni kuwa mpira siyo siasa useme kuwa mwenye porojo nyingi ndiye mshindi.
Mkuu, kwa mechi waliocheza taifa stars ni kiwango kizuri japo wali-defense Sana. Yote haya ni kupambania matokeo chanya.

Kwa kawaida ni vyema kutoa "support" kwa timu yako hata Kama haitofanya vyema mbeleni, hata ikifungwa lakini ku-support ni jambo jema kuhamasisha wachezaji wetu wa kizalendo.

jifunze kupenda chako hata Kama ni kibaya.
 
Hakika Watanzania hawana shukrani kabisa, badala ya kuimiminia pongezi za dhati nchi ya Algeria kwa kutubeba katika mchezo wa jana bila aibu tunaipongeza Taifa Stars kwa kufuzu baada ya kutoka sare na timu ngumu iliyoamua kutoifunga Taifa Stars, kwani ilikuwa na uwezo kwa kuifunga Taifa Stars hata magoli 10.

Binafsi naipongeza sana Algeria kwa moyo wa huruma wa kutubeba.
Kuna aina NYINGI ZA UCHAWI!! huu ni mmojawapo!! Kutokufurahia mafanikio ya nyumbani ni uchawi!!
 
Mkuu, kwa mechi waliocheza taifa stars ni kiwango kizuri japo wali-defense Sana. Yote haya ni kupambania matokeo chanya.

Kwa kawaida ni vyema kutoa "support" kwa timu yako hata Kama haitofanya vyema mbeleni, hata ikifungwa lakini ku-support ni jambo jema kuhamasisha wachezaji wetu wa kizalendo.

jifunze kupenda chako hata Kama ni kibaya.
Tanzania ina vipaji vingi sana sana vya mpira. Mimi ni mkongwe na nimeanza kusupport timu yetu ya taifa pengine hata kabla wewe hujazaliwa au ukiwa mdogo sana. Nilichogundua ni kuwa kujidanganya timu yetu ni bora wakati haiko hivyo ni ujinga. Serikali ingekuwa imewekeza kwenye kuendeleza vipaji tangu utotoni tungekuwa tunakaribiana na Brazil. Badala yake viongozi wanadandia bogi kila wanapoona fursa ili kujipatia umaarufu wa rahisi na kupumbaza wananchi.
 
Soka ni mchezo wa mbinu. Ikiwa hii mbinu imetutoa basi tuendelee kuitumia.

Mashindano yajayo, hakuna kuchukua kocha kabla makundi ya Afcon hayajapangwa. Tukipangiwa na mbabe yeyote tunaenda kuchukua kocha huko huko kwao.
ni wachache sana wanaofikiri nje ya box kama wewe.nchi ya bolivia ya south america,wamezungukwa na wababe wa soka,wamejenga uwanja mlimani kwenye baridi kali,hata kupumua ni kwa mashine wachezaji wa benchi,huko timu kubwa huwa zinafungwa pia...
 
Back
Top Bottom