Bila huruma ya Algeria Taifa Stars isingefuzu, tuipongeze Algeria sio Taifa Stars

Tanzania ina vipaji vingi sana sana vya mpira. Mimi ni mkongwe na nimeanza kusupport timu yetu ya taifa pengine hata kabla wewe hujazaliwa au ukiwa mdogo sana. Nilichogundua ni kuwa kujidanganya timu yetu ni bora wakati haiko hivyo ni ujinga. Serikali ingekuwa imewekeza kwenye kuendeleza vipaji tangu utotoni tungekuwa tunakaribiana na Brazil. Badala yake viongozi wanadandia bogi kila wanapoona fursa ili kujipatia umaarufu wa rahisi na kupumbaza wananchi.
Mzee tungekuwa tunakaribiana na nani 🤔😂😂🙌🙌
Hata ENGLAND licha ya uwekezaji wote ule hakaribiani na Brazil ndo leo Tz tukaribiane na Brazil 🤔😂😂
 
Usiwe kama nyumbu wewe. Wabongo kazi kulipuka kwa ubishi bila hata kutafakari. Kama Engalnd wana uwekezaji mkubwa na hawajifikia Brazil sasa huoni hapo kuna talent factor? Hujasoma mimi nimeelezea kuwa Tanzania kuna vipaji? England nimekaa na hakuna vipaji kama Bongo.
 
Hilo hata mimi nililiona nikawaeleza, wengi hawakunielewa lakini naamini wapo pia wengi walionielewa.

Bila shaka, historia ya Tanzania na Algeria ina safari ndefu.

Mpakashule maarufu ya King George zamani huko zamani, ikapewa jina la Ben Bela. Siku hizi nadhani inaitwa Lumumba lakini jengo lake bado linaitwa Ben Bela.

Na shule hiyo ndiyo sekondari aliyosoma mama Samia Suluhu.
 
Hizo mecho alizoshinda hadi kufika point 7 akiwapita Uganda na niger nazo alisaidiwa??
 
Usiwe kama nyumbu wewe. Wabongo kazi kulipuka kwa ubishi bila hata kutafakari. Kama Engalnd wana uwekezaji mkubwa na hawajifikia Brazil sasa huoni hapo kuna talent factor? Hujasoma mimi nimeelezea kuwa Tanzania kuna vipaji? England nimekaa na hakuna vipaji kama Bongo.
We nae uzee unakuchanganya,
Hivyo vipaji vya ajabu vilivyopo bongo ni vipi? Si tungeviona tu, Senegal wanamiundombinu mibovu ila wanajituma, anyway kule mbali,
Hapo Uganda tu unawaona watu wana vipaji na hawana miundombinu hiyo unayoisema, hivyo vipaji bongo vya ajabu viko wapi
 
Mtakuja kuumbuka wenyewe stars ikifanya maajabu makubwa huko Ivory Coast
 
Algeria wameimsaidia Karai na timu yake .. endapo Algeria wangekuwa hawajafuzu 🌟 angekufa 4
 
We nae uzee unakuchanganya,
Hivyo vipaji vya ajabu vilivyopo bongo ni vipi? Si tungeviona tu, Senegal wanamiundombinu mibovu ila wanajituma, anyway kule mbali,
Hapo Uganda tu unawaona watu wana vipaji na hawana miundombinu hiyo unayoisema, hivyo vipaji bongo vya ajabu viko wapi
You are just another idiot. Miundombinu unajua hata maana yake?
 
Back
Top Bottom