Registered_jf
JF-Expert Member
- Nov 27, 2024
- 1,237
- 2,110
Mtu unawezaje kuwa Muislam bila kusema shahada?.
Mitume yote kabla ya mohamed haikuwah kufuata hata nguzo moja katika zile 5 za kiislamu.
Imekuwaje wawe waislamu.
Kobaz mnapenda kujiamulia tu mambo. Na kujinasibu na mitume isiyowahusu.
Injili ni moja tu.
1) Injili maana yake Habari Njema.
Habari njema kutoka kwa YESU ambayo yeye mwenyewe alihubiri na kuagiza wafuasi wake wahubiri ni Habari kuhusu:
Msamaha wa dhambi na Tumaini la kuishi milele kwenye Ufalme wa MUNGU.
a) "Lakini yeye akawaambia, “Ninapaswa kuhubiri Habari Njema za ufalme wa Mungu katika miji mingine pia, maana nilitumwa kwa ajili hiyo."
Luka.4.43.BHN
b) "Basi, akawaambia, “Nendeni ulimwenguni kote mkahubiri Habari Njema kwa kila mtu.
Anayeamini na kubatizwa ataokolewa. Asiyeamini...
Ndio maana mimi kuanzia leo nimeamua kuanza kwenda Kanisani na nimeanza mafundisho ili niweze kubatizwa.
Uthibitsho wa Historia ya YESU:
(not debating, just leaving this here for Genuine Truth Seekers)
Proof of Jesus
HAKUNA mtu aliyeacha nyayo nyingi kwenye historia kama Yesu Kristo, HAKUNA!
Yesu Kristo ndiye Mtu mashuhuri kupita wote kwenye historia, nakuhakikishia.
1) Kwanza dini zote (ikiwemo dini ya atheism) zinamkubali Yesu Kristo, halafu Yesu anajikubali mwenyewe tu.
Wayahudi wanasema Yesu alikuwa Rabi/mwalimu.
Waislamu wanasema Yesu alikuwa nabii.
Wabuddha wanasema Yesu ni mtu aliyeangaziwa...
Unamaliza wino wa JF. Twende tukabatizwe, acha na ujinga wa mwarabu wa kujifungamanisha na mashwetani.Injili ya nani ambayo Paulo alikuwa akihubiri?
Kuna aya zinazoonyesha kwamba Paulo alikuwa akihubiri Injili yake mwenyewe...
Warumi 2:16
16 Hili litatokea siku ambayo Mungu atazihukumu siri za wanadamu kupitia Yesu Kristo, kama inavyosema Injili yangu.
Warumi 16:25
Sasa kwake yeye awezaye kuwathibitisha kwa Injili yangu na kwa kuhubiriwa kwa Yesu Kristo, kulingana na ufunuo wa siri iliyofichwa tangu zamani,
Kuna aya zinazoonyesha kwamba Paulo alikuwa akihubiri Injili ya Mungu...
Warumi 15:16
16 ili niwe mtumishi wa Kristo Yesu kwa Mataifa, nikiwa na wajibu wa kikuhani wa kutangaza Injili ya Mungu, ili Mataifa wawe sadaka inayokubalika kwa Mungu, iliyotakaswa na Roho Mtakatifu.
2 Wakorintho 11:7
7 Je, nilifanya dhambi kwa kujishusha mwenyewe ili kuwainua ninyi, kwa kuwahubiria Injili ya Mungu bila malipo?
Kuna aya zinazoonyesha kwamba Paulo alikuwa akihubiri Injili ya Kristo...
1 Wakorintho 9:12
Lakini hatukutumia haki hiyo. Badala yake, tulivumilia kila kitu kuliko kuweka kizuizi chochote kwa Injili ya Kristo.
2 Wakorintho 2:12
12 Nilipofika Troa kuhubiri Injili ya Kristo, na nikakuta kwamba Bwana alikuwa amenifungulia mlango,
2 Wakorintho 9:13
13 Kwa sababu ya huduma hiyo ambayo mmejithibitisha kwayo, watu watamtukuza Mungu kwa ajili ya utii unaoambatana na kukiri kwenu Injili ya Kristo, na kwa ukarimu wenu wa kushirikiana nao na watu wengine wote.
2 Wakorintho 10:14
14 Hatusukumi mambo yetu kupita kiasi kana kwamba hatukuwafikia; kwa maana tulifika mpaka kwenu pia tukiwa na Injili ya Kristo.
Warumi 1:9
9 Mungu, ninayemtumikia kwa moyo wangu wote katika kuhubiri Injili ya Mwanawe, ndiye shahidi wangu jinsi ninavyowakumbuka ninyi daima.
Aya ya mwisho inaonyesha tofauti kati ya Mungu na Mwana wake (anayemrejelea Yesu).
Kwa hiyo, Paulo alikuwa akihubiri Injili yake mwenyewe, Injili ya Yesu, au Injili ya Mungu?
Jibu hapo kwanza wacha jazibaUnamaliza wino wa JF. Twende tukabatizwe, acha na ujinga wa mwarabu wa kujifungamanisha na mashwetani.
Tubu na kuiamini Injili.Jibu hapo kwanza wacha jaziba
hiyo ni injili ya yesu , paulo au ya mungu ??Tubu na kuiamini Injili.
Tubu na kuiamini Injili.
mkuu kufa watu wanakufa kila siku watu wanaona, kuanzia mifugo, wanyama, watu. kina magufuli wako wapi?Sasa mtu anakufaje?Mimi siamini kama Kuna KUFA.
Ila naamini KUFUFULIWA.
Nakushangaa wewe unaamini kufa kwani ulishawahi KUFA?mpaka uamini kufa?
Nithibitishie kuwa Kuna KUFA
mkuu kufa watu wanakufa kila siku watu wanaona, kuanzia mifugo, wanyama, watu. kina magufuli wako wapi?
Shahada ya Muhammad haimaanishi kwamba manabii waliomtangulia hawakuwa waislamu kwa maana ya kujinyenyekeza kwa Mungu mmoja. Qur’an 3:67 inasema Ibrahim hakuwa Myahudi wala Mkristo, bali alikuwa mwenye kujisalimisha kwa Mungu.
Na hata Biblia yako inaonyesha watu waliomtangulia Muhammad walimwabudu Mungu mmoja. Kwa mfano Yesu alisema: “Bwana Mungu wetu, Bwana ni mmoja.” (Marko 12:29)
Kwa hiyo tunachosema ni kwamba msingi wa ujumbe wa manabii ulikuwa kumwabudu Mungu mmoja; Muhammad hakubuni Mungu mwingine.
unaleta mzaha, kati ya kuthibitisha kufa na kufufuliwa wewe unaona kipi linawezekana? yani anayeamini kufufuliwa anampa challenge mtu mwingine athibitishe kufa, uthibitisho upi hapo ni mgumu kutoa?
Uthibitsho wa Historia ya YESU:
(not debating, just leaving this here for Genuine Truth Seekers)
Proof of Jesus
HAKUNA mtu aliyeacha nyayo nyingi kwenye historia kama Yesu Kristo, HAKUNA!
Yesu Kristo ndiye Mtu mashuhuri kupita wote kwenye historia, nakuhakikishia.
1) Kwanza dini zote (ikiwemo dini ya atheism) zinamkubali Yesu Kristo, halafu Yesu anajikubali mwenyewe tu.
Wayahudi wanasema Yesu alikuwa Rabi/mwalimu.
Waislamu wanasema Yesu alikuwa nabii.
Wabuddha wanasema Yesu ni mtu aliyeangaziwa...
Alikamatwa na kuchapwa na Warumi, lakini aliachiliwa kwa kuwa alionekana kuwa kichaa asiye na hatari kubwa. Alikufa wakati wa kuzingirwa kwa Yerusalemu baada ya kupigwa na jiwe lililorushwa na manati ya Warumi.“Sauti kutoka mashariki, sauti kutoka magharibi, sauti kutoka pande zote nne za upepo, sauti dhidi ya Yerusalemu na nyumba takatifu, sauti dhidi ya bwana harusi na bibi harusi, na sauti dhidi ya watu wote.”
— Josephus, Wars 6.3
Mnajaribu kujinasaba ila wajinga tu ndio wanaweza kuamini hilo.
Surah al Hujurat 49:15
"Hakika waumini wa kweli ni wale tu waliomwamini Allah na mtume wake , kisha wasiwe na shaka kabisa."
Mtu hajawah hata kumsikia Mohamed na kitabu chake . Utasemaje ni Muislam?.
Hii hoja ya Kunyenyekea Mungu mmoja ndio kuwa muislam.
Hadi sasa Wayahudi na Wakristo wana Mungu mmoja.
Kwahiyo automatic ni Waislam?.
Eti Shahada ni kusema una Muamini Mungu mmoja😂😂😂😂😂. Duh hii ni kali kuliko.
Acha upotoshaji.
sileti mimi mzaha kwani mimi ni mchungaji ?unaleta mzaha, kati ya kuthibitisha kufa na kufufuliwa wewe unaona kipi linawezekana? yani anayeamini kufufuliwa anampa challenge mtu mwingine athibitishe kufa, uthibitisho upi hapo ni mgumu kutoa?
Je, kulikuwa na Yesu? Bila shaka kulikuwa na Yesu — wengi!
Shujaa mashuhuri wa Wayahudi alikuwa Yoshua (mrithi wa Musa), anayejulikana pia kama Yehoshua (Yeshua) bin Nuni (“Yesu wa samaki”). Kwa kuwa jina Yesu (Yeshua au Yeshu kwa Kiebrania, na Iesous kwa Kigiriki, ambalo ndilo chanzo cha tahajia ya Kiingereza) awali lilikuwa cheo chenye maana ya “mwokozi,” kilichotokana na “Yahweh anaokoa,” inawezekana kwamba kila kundi katika upinzani wa Wayahudi lilikuwa na shujaa wake aliyebeba jina hilo, pamoja na majina mengine.
Josephus, mwanahistoria Myahudi wa karne ya kwanza, anawataja Yesu/Yeshu wapatao kumi na tisa tofauti, karibu nusu yao wakiwa watu wa wakati mmoja na yule anayesemekana kuwa Kristo! Katika kitabu chake Antiquities, kati ya makuhani wakuu ishirini na wanane waliokuwa madarakani tangu utawala wa Herode Mkuu hadi kuanguka kwa Hekalu, wasiopungua wanne waliitwa Yesu: Yesu mwana wa Phiabi, Yesu mwana wa Sec, Yesu mwana wa Damneus, na Yesu mwana wa Gamaliel. Hata Mtakatifu Paulo anamtaja mchawi mpinzani aliyekuwa akihubiri kuhusu “Yesu mwingine” (2 Wakorintho 11:4).
Miongoni mwa Wayahudi wengi wa kale waliokuwa na jina Yesu ni hawa:
Yesu mwana wa Siraki. Yesu huyu alisemekana kuwa mwandishi wa Kitabu cha Siraki (pia kinachojulikana kama Ecclesiasticus, au Hekima ya Yesu Mwana wa Siraki), ambacho ni sehemu ya vitabu vya Apokrifa vya Agano la Kale. Ben Siraki, aliyeandika kwa Kigiriki karibu mwaka 180 KK, alikusanya pamoja hekima ya Kiyahudi na mashujaa wa mtindo wa Homer.
Yesu mwana wa Pandira. Alikuwa mtenda miujiza wakati wa utawala wa Alexander Jannaeus (106–79 KK), mmoja wa wafalme wakatili zaidi wa Wamakabayo. Kwa kutokuwa mwangalifu, Yesu huyu alianza kutabiri mambo ya mwisho wa dunia na kuchochea watu, jambo lililomkasirisha mfalme. Alifikia “mwisho” wake mwenyewe mapema kwa kunyongwa juu ya mti — na hilo likatokea usiku wa kuamkia Pasaka. Baadhi ya wasomi wamependekeza kwamba Yesu huyu ndiye aliyeanzisha kundi la Waesene.
Yesu mwana wa Anania. Kuanzia mwaka 62 BK, Yesu huyu alisababisha wasiwasi Yerusalemu kwa kurudia bila kukoma ujumbe wa maangamizi: “Ole wa mji.” Alitabiri kwa namna isiyo wazi:
Alikamatwa na kuchapwa na Warumi, lakini aliachiliwa kwa kuwa alionekana kuwa kichaa asiye na hatari kubwa. Alikufa wakati wa kuzingirwa kwa Yerusalemu baada ya kupigwa na jiwe lililorushwa na manati ya Warumi.
Yesu mwana wa Saphat. Wakati wa uasi wa mwaka 68 BK uliosababisha machafuko Galilaya, Yesu huyu aliwaongoza waasi huko Tiberia (“kiongozi wa ghasia ya waasi, mabaharia na watu maskini” — Josephus, Life 12.66). Jiji lilipokaribia kuanguka mikononi mwa wanajeshi wa Vespasian, alikimbilia kaskazini, Tarichea, kwenye Bahari ya Galilaya.
Yesu mwana wa Gamala. Katika miaka ya 68/69 BK, Yesu huyu alikuwa kiongozi wa kundi lililotaka amani wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyokuwa vikiharibu Yudea. Kutoka kwenye kuta za Yerusalemu, alijaribu kuwashawishi Waedomu waliokuwa wameizingira Yerusalemu, wakiongozwa na “Yakobo na Yohana, wana wa Susa.” Hakufanikiwa. Waedomu walipovunja kuta, aliuawa na mwili wake ukatupwa kwa mbwa na ndege wala mizoga.
Yesu mwana wa Thebuth. Alikuwa kuhani ambaye, wakati wa kujisalimisha kwa sehemu ya juu ya jiji mwaka 69 BK, aliokoa maisha yake kwa kusalimisha hazina za Hekalu. Hazina hizo zilijumuisha vinara viwili vitakatifu, vikombe vya dhahabu safi, mapazia matakatifu na mavazi ya makuhani wakuu. Nyara hizo zilionyeshwa kwa umaarufu katika sherehe ya ushindi iliyofanywa kwa ajili ya Vespasian na mwanawe Titus.
acha mzaha mkuusileti mimi mzaha kwani mimi ni mchungaji ?
😂😂😂😂😂Na kuhusu manabii wengine: “Musa akasema: Enyi watu wangu! Ikiwa mmemwamini Allah, basi mtegemeeni ikiwa nyinyi ni Waislamu.” (Qur’an 10:84)
Uthibitsho wa Historia ya YESU:
(not debating, just leaving this here for Genuine Truth Seekers)
Proof of Jesus
HAKUNA mtu aliyeacha nyayo nyingi kwenye historia kama Yesu Kristo, HAKUNA!
Yesu Kristo ndiye Mtu mashuhuri kupita wote kwenye historia, nakuhakikishia.
1) Kwanza dini zote (ikiwemo dini ya atheism) zinamkubali Yesu Kristo, halafu Yesu anajikubali mwenyewe tu.
Wayahudi wanasema Yesu alikuwa Rabi/mwalimu.
Waislamu wanasema Yesu alikuwa nabii.
Wabuddha wanasema Yesu ni mtu aliyeangaziwa...