Bila Kagere ushambuliaji wa Simba ni bure

Kagere 36 yrs akapumzimke tu kwakwel Hawa mtendei haki kabisa kutoka top scorer Hadi kushinda benchi
 
Muacheni Mugalu kipenzi cha Churk Noris.

Team Mugalu wanakwambia chezaji lao lina faida ya kukaba mabeki.

Chezaji zito akili mpaka mwili.
 
Si kweli kabisa.
Hata Kagere ana matatizo makubwa kuliko Mugalu.Usidhani ni rahisi kutengeneza nafasi tu na kufunga.Unahitaji wachezaji wenye fighting spirit,wanaojielewa.
Leo nimejiridhisha kwamba kumbe hakuna striker pale Simba kama Kagere , ni vema kocha wa simba akalijua hilo , kunyoa kiduku kwa Mugalu au kufuga mcheche kwa Boko kusimdanganye kocha .

Simba tunataka ushindi tu .

Kama unampenda mtu kwa sababu ya sura yake basi nenda kanywe naye chai - JK NYERERE
 
hivi Mugalu ndio wa kumweka benchi Kagere ?
 
Leo nimejiridhisha kwamba kumbe hakuna striker pale Simba kama Kagere , ni vema kocha wa simba akalijua hilo , kunyoa kiduku kwa Mugalu au kufuga mcheche kwa Boko kusimdanganye kocha .

Simba tunataka ushindi tu .

Kama unampenda mtu kwa sababu ya sura yake basi nenda kanywe naye chai - JK NYERERE
Naam naam
 
Back
Top Bottom