Bila Kagere ushambuliaji wa Simba ni bure

Kagere 36 yrs akapumzimke tu kwakwel Hawa mtendei haki kabisa kutoka top scorer Hadi kushinda benchi
 
Muacheni Mugalu kipenzi cha Churk Noris.

Team Mugalu wanakwambia chezaji lao lina faida ya kukaba mabeki.

Chezaji zito akili mpaka mwili.
 
Kagere nae kwisha,Simba wavunje kibubu waongeze stricker mwenye cariba kama ya Dube au Walter Bwalya.
 
Si kweli kabisa.
Hata Kagere ana matatizo makubwa kuliko Mugalu.Usidhani ni rahisi kutengeneza nafasi tu na kufunga.Unahitaji wachezaji wenye fighting spirit,wanaojielewa.
 
Si kweli kabisa.
Hata Kagere ana matatizo makubwa kuliko Mugalu.Usidhani ni rahisi kutengeneza nafasi tu na kufunga.Unahitaji wachezaji wenye fighting spirit,wanaojielewa.
hivi Mugalu ndio wa kumweka benchi Kagere ?
 
Naam naam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…