Bila Katiba mpya, Upigaji kura hauna maana yeyote

battawi

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2014
Posts
2,712
Reaction score
2,577
Ni miaka 27 tokea mfumo wa vyama vingi urudishwe tena Tanzania.
Ulikuwepo kablaya Uhuru na mara tuu baada ya Uhuru waTanganyika Dec.9.1961/Zanzibar Dec.10. 1963.
Lakin CCM walirudisha neno vyama vingi tuu huku wakiendelea na katiba ile ile y chama kimoja iliyorekebishwa kwenye vipengele vichache mno.

Mzee mtikila aliwahi kushauri wapinzani wapiganie KATIBA mpya kwanza kabla ya kushiriki siasa.
Ushauri wake huu ulipuuzwa na wengi hata na yeye mwenyewe baadae aliamua kushiriki siasa.

Ukweli ni kwamba kila uchao CCM wanajitengenezea ngome ya kuendelea kutawala bila ya kubughudhiwa na yeyote.Na kwa hali ilivyo sasa Upigaji kura haun maana yoyote .
kitanzi.jpg

Mwaka huu 2020 ndio imeonesha upeo wa dhamira zao ovu za kujibakiza Madarakani kwa kutumia sheria na kanuni za kuengua wagombea, kutangaza matokeo bila ya kuhojiwa mahakamani, na kutumia vyombo vya dola mchana kweupe kuwabeba, hata kukama ta wagombea na kuwatia jela au kuuwa na kuzuia tume na mahakam kufanya uadilifu .

Kwa muktadha huu na hali ilivyo katika BUNGE na BARAZA LA WAWAKILISHI Zanzibar. hakuna tena uwezekano wa Upinzani kupata hata unyoya wa bata ,sembuse paja au kipapachiro.
UKWELI NI KWAMBA MFUMO NI WA CHAMA KIMOJA ki mtindo na hakuna mwenye haki ya kunyanyua mdomo,.

Vyombo vyote vya habari haviwezi tena kusema kinyume na nyimbo za kumsifu Mfalme CCM, ukitowa habari za upinzani, unanyanganywa kibali/Leseni na pengine utafubguliwa kesi ya uchochezi na kuishia jela bila dhamana.
Hakuna Mhakama inayotenda haki,na kuaminika kwa sasa
Hakuna tena bunge la kuisimamia Serikali,
Hakuna vyombo vya dola kama Polisui au Jeshi vinavyofanya kazi kwa uweledi na maadili ya kazi zao.
wote tunaimba nyimbo moja tuu PONGEZI, NA KUUNGA JUHUDI ZA MUHESHIMIWA NA CHAMA CHAKE TUU.

Sas wito wangu kwa vyama vyote vya Upinzani bila ya kujali tofauti zao, hili la katiba ni letu sote.
Tuanzeni kupanga Mkakati wa kuishinikiza SERIKALI ili iurejeshee mchakato wa katiba mpya.
Tuzungukeni duniani kwa wahisani tuwashawishi watuunge mkono juu ya madai haya.
Tuwa andae wafuasi wetu waachane na minyukano ya kisiasa wasimame kwa pamoja kudai kitu chenye maslahi ya WATANZANIA WOTE.
Karibuni kwa mijadala na michango.
 
Ni miaka 27 tokea mfumo wa vyama vingi urudishwe tena Tanzania.
Ulikuwepo kablaya Uhuru na mara tuu baada ya Uhuru waTanganyika Dec.9.1961/Zanzibar Dec.10. 1963.
Lakin CCM walirudisha neno vyama vingi tuu huku wakiendelea na katiba ile ile y chama kimoja iliyorekebishwa kwenye vipengele vichache mno.

Mzee mtikila aliwahi kushauri wapinzani wapiganie KATIBA mpya kwanza kabla ya kushiriki siasa.
Ushauri wake huu ulipuuzwa na wengi hata na yeye mwenyewe baadae aliamua kushiriki siasa.

Ukweli ni kwamba kila uchao CCM wanajitengenezea ngome ya kuendelea kutawala bila ya kubughudhiwa na yeyote.Na kwa hali ilivyo sasa Upigaji kura haun maana yoyote .View attachment 1645399

Ccm ya leo ni KANU ya kesho. Ni suala la muda tu. Mwizi hadumu siku zote, mwisho wa siku zake ni arobaini.
 
Inaonesha watu wetu wengi wanapumbazwa kwa tende na halwa , kama alivyosema hayati Mzee Mtikila
 
Attachments

  • MTIKILA.mp4
    6.4 MB
Ni miaka 27 tokea mfumo wa vyama vingi urudishwe tena Tanzania.
Ulikuwepo kablaya Uhuru na mara tuu baada ya Uhuru waTanganyika Dec.9.1961/Zanzibar Dec.10. 1963.
Lakin CCM walirudisha neno vyama vingi tuu huku wakiendelea na katiba ile ile y chama kimoja iliyorekebishwa kwenye vipengele vichache mno.

Mzee mtikila aliwahi kushauri wapinzani wapiganie KATIBA mpya kwanza kabla ya kushiriki siasa.
Ushauri wake huu ulipuuzwa na wengi hata na yeye mwenyewe baadae aliamua kushiriki siasa.

Ukweli ni kwamba kila uchao CCM wanajitengenezea ngome ya kuendelea kutawala bila ya kubughudhiwa na yeyote.Na kwa hali ilivyo sasa Upigaji kura haun maana yoyote .View attachment 1645399

Mwaka huu 2020 ndio imeonesha upeo wa dhamira zao ovu za kujibakiza Madarakani kwa kutumia sheria na kanuni za kuengua wagombea, kutangaza matokeo bila ya kuhojiwa mahakamani, na kutumia vyombo vya dola mchana kweupe kuwabeba, hata kukama ta wagombea na kuwatia jela au kuuwa na kuzuia tume na mahakam kufanya uadilifu .

Kwa muktadha huu na hali ilivyo katika BUNGE na BARAZA LA WAWAKILISHI Zanzibar. hakuna tena uwezekano wa Upinzani kupata hata unyoya wa bata ,sembuse paja au kipapachiro.
UKWELI NI KWAMBA MFUMO NI WA CHAMA KIMOJA ki mtindo na hakuna mwenye haki ya kunyanyua mdomo,.

Vyombo vyote vya habari haviwezi tena kusema kinyume na nyimbo za kumsifu Mfalme CCM, ukitowa habari za upinzani, unanyanganywa kibali/Leseni na pengine utafubguliwa kesi ya uchochezi na kuishia jela bila dhamana.
Hakuna Mhakama inayotenda haki,na kuaminika kwa sasa
Hakuna tena bunge la kuisimamia Serikali,
Hakuna vyombo vya dola kama Polisui au Jeshi vinavyofanya kazi kwa uweledi na maadili ya kazi zao.
wote tunaimba nyimbo moja tuu PONGEZI, NA KUUNGA JUHUDI ZA MUHESHIMIWA NA CHAMA CHAKE TUU.

Sas wito wangu kwa vyama vyote vya Upinzani bila ya kujali tofauti zao, hili la katiba ni letu sote.
Tuanzeni kupanga Mkakati wa kuishinikiza SERIKALI ili iurejeshee mchakato wa katiba mpya.
Tuzungukeni duniani kwa wahisani tuwashawishi watuunge mkono juu ya madai haya.
Tuwa andae wafuasi wetu waachane na minyukano ya kisiasa wasimame kwa pamoja kudai kitu chenye maslahi ya WATANZANIA WOTE.
Karibuni kwa mijadala na michango.
Amri kumi za Mungu aliyetuumba mnashindwa kuzizingatia , sembuse hiyo takataka ya Katiba mpya.
 
Nadhani unajidanganya, pole. Rais na Makamo na Katibu Mkuu na kamati yote ya Halmwshauri ya CCM wzliopata uhuru 1961 walishakufa. How can you say eti wanangangania madaraka? Waliopindua Waarabu 1964 wote walishakufa wamebaki wajukuu wasaliti tu, how can you say hawataki wengine watawale? Wana uwezo gani wa kutaka kutotaka?
 
Back
Top Bottom