Bila katiba za kidemokrasia kwa Tanzania na Uganda uwekezaji hauna uhakika
Tanzania haina katiba ya kueleweka na Raisi wajao wanaweza kufanya lolote kwa katiba hii ya kirojo. Uganda nao uongozi ni mtu mmoja tena anamiaka 82! na anataka kumpa mtoto wake ambaye ni mwanajeshi fake na mapepe sana. Sasa kama kuna uwekezaji risk kubwa ni mifumo yetu ya siasa.
Tanzania na Uganda kwasababu hazina katiba nzuri za kufuata sheria na demokrasia hakuna uhakika wa uendelezi wa uwekezaji na maendeleo