Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule mfumo wa mwalimu wa 3 5 2 nao ulichangia kwenye kutengeneza uchochoro upande wa pembeni wa Juma Shaban/Kibwana Shomari, na pia Farid Musa.Mechi ya final ya Azam FA Bakari Mwamnyeto alikuwa uchochoro wa wazi kwa Wana Tanga coastal Union. Kulikuwa na mpango Mwamnyeto acheze chini ya kiwango kwa kupewa kadi ya njano mapema.
Haya mambo hayapo kwa mchezaji anaye jitambua.Halafu mbaya zaidi ile ni timu yake ya nyumbani
Kaka coastal Union ilipigwa na Yanga ndani na nje msimu huu, coastal Haina uwezo wa kufunga beki ya Yanga magoli 3 kwenye mechi moja. Nabi ndiye aliyetibua mipango kwa kimtoa Mwamnyeto.Ule mfumo wa mwalimu wa 3 5 2 nao ulichangia kwenye kutengeneza uchochoro upande wa pembeni wa Juma Shaban/Kibwana Shomari, na pia Farid Musa.
Ukijumlisha sasa na hayo madhaifu ya Bakary Mwamnyeto na Dickson Job! ya kujisahau, kuzubaa na kutokuziba mianya inayoachwa na mabeki wa pembeni waliokuwa wanapanda muda wote mbele kwenda kuongeza mashambulizi.
Hivyo kwa mimi, naona mfumo wa mwalimu haukufanya kazi kwenye mechi ya jana.
Mwamnyeto akibaki na forward yeye MTU was mwisho tegemea penati au goli na Mara nyingi anakimbilia kusukuma kwa mkonoBeki Yuko pale, SEMA TU mechi Ile ilikuwa na hadhi kubwa na muhimu sana katika siasa za mkoa wa Tanga