Bila kodi, mikopo wala tozo Serikali kutekeleza miradi ya Tsh 25T

Nani anauza nchi hebu weka sawa hili
Ni kwamba mwekezaji atarudishaje alichowekeza, Kwa miaka mingapi na Kwa masharti yapi, na ana uwezo wa kuongeza tozo kutoka na kushuka Kwa thamani ya shillingi yetu katika kipindi cha mkataba, na itakuwa na athari Gani, na huo mkataba, unaweza kuongezwa,baada ya mkataba kuisha., je kuna nchi ina mikataba kama hii, na nzuri wake au unaya wake umefanyiwa tathimi, na mazingira yetu ya kiuchumi yapoje, ukilinganisha na nchi inayotumia mfumo. Huu Kwa mfano, uhimilivu WA hela yetu dhidi ya Fedha za kigeni, uwezo wa Benki Kuu katika uendeshaji WA uchumi, Kama riba, mzunguko wa pesa,
 
View attachment 3154692
View attachment 3154691

Kuna mambo kwa kiburi chetu Cha uzima tunaweza kubishana lakini si-utendaji kazi wa Rais Samia Suluhu Hassan,

Nani asiyejua hii PPP ilianza tangu enzi na enzi lakini chini ya mama huyu matokeo ni haya na tutarajie mengine mengi.

Binafsi niko tayari kupigana na kumpigania Rais Samia Suluhu Kwakuwa faida yake kwenye nchi hii inaonekana​
===
Tanzania is mobilising at least $9 billion (about Sh25 trillion) in private capital to kickstart mega projects under the Public-Private Partnership (PPP) framework, according to the PPP Centre (PPPC).

Speaking at a seminar for the Parliamentary Standing Committee on Regional Administration and Local Government in Dar es Salaam yesterday, PPPC executive director David Kafulila highlighted the progress and significance of PPP in driving Tanzania’s infrastructure and development goals.

Currently, Tanzania is implementing over 84 projects through PPP, spanning infrastructure, hydropower, and other development sectors.

“The projects under PPPC are at various stages—agreement, feasibility studies, evaluation, procurement, and concept development,” Mr Kafulila explained.

“Key projects, such as the $340 million Kibaha-Chalinze road and the $1 billion construction of ring roads, are progressing well.”

Since the PPPC’s intensified focus on PPP projects in April, the Dar es Salaam Development Corporation (DDC) has been the primary project underway.

This project includes constructing a modern commercial complex in Kariakoo, one of Dar es Salaam’s busiest commercial districts.

The DDC building is envisioned as a multifunctional hub aimed at enhancing Kariakoo’s business appeal and attracting further investment. The project is expected to cost $37m.

Mr Kafulila emphasised that adherence to legal frameworks by all PPP stakeholders is essential for the long-term sustainability of these projects.

Additionally, he noted that the Tanzania Railways Corporation (TRC) is conducting feasibility studies to establish a new railway line connecting Kariakoo with Mlimani City and Tegeta, underscoring the government’s commitment to expanding urban transport infrastructure.

#TheCitizenUpdates

Ukiona Andiko limetaja jina kamilifu la Rais wetu zaidi ya mara 10 basi ujue ni wazee wa kujipendekeza
 
Nchi kama Norway imeweza kuwa tajiri kwa kutumia fedha za rasilimali ya mafuta kwa ajili ya maendeleo ya nchi. Sisi tuna madini na gesi, kwa nini fedha zinazopatikana huko zisielekezwe katika kufadhili miradi mikubwa na maendeleo ya nchi?

Zinaenda kwenye magari ya viongozi na posho za vikao vyao
 
Bila kodi, mikopo wala tozo Serikali kutekeleza miradi ya Tsh 25T...​

Sjaelewa kabisa
 
View attachment 3154692
View attachment 3154691

Kuna mambo kwa kiburi chetu Cha uzima tunaweza kubishana lakini si-utendaji kazi wa Rais Samia Suluhu Hassan,

Nani asiyejua hii PPP ilianza tangu enzi na enzi lakini chini ya mama huyu matokeo ni haya na tutarajie mengine mengi.

Binafsi niko tayari kupigana na kumpigania Rais Samia Suluhu Kwakuwa faida yake kwenye nchi hii inaonekana​
===
Tanzania is mobilising at least $9 billion (about Sh25 trillion) in private capital to kickstart mega projects under the Public-Private Partnership (PPP) framework, according to the PPP Centre (PPPC).

Speaking at a seminar for the Parliamentary Standing Committee on Regional Administration and Local Government in Dar es Salaam yesterday, PPPC executive director David Kafulila highlighted the progress and significance of PPP in driving Tanzania’s infrastructure and development goals.

Currently, Tanzania is implementing over 84 projects through PPP, spanning infrastructure, hydropower, and other development sectors.

“The projects under PPPC are at various stages—agreement, feasibility studies, evaluation, procurement, and concept development,” Mr Kafulila explained.

“Key projects, such as the $340 million Kibaha-Chalinze road and the $1 billion construction of ring roads, are progressing well.”

Since the PPPC’s intensified focus on PPP projects in April, the Dar es Salaam Development Corporation (DDC) has been the primary project underway.

This project includes constructing a modern commercial complex in Kariakoo, one of Dar es Salaam’s busiest commercial districts.

The DDC building is envisioned as a multifunctional hub aimed at enhancing Kariakoo’s business appeal and attracting further investment. The project is expected to cost $37m.

Mr Kafulila emphasised that adherence to legal frameworks by all PPP stakeholders is essential for the long-term sustainability of these projects.

Additionally, he noted that the Tanzania Railways Corporation (TRC) is conducting feasibility studies to establish a new railway line connecting Kariakoo with Mlimani City and Tegeta, underscoring the government’s commitment to expanding urban transport infrastructure.

#TheCitizenUpdates
Nataka nipewe soko tu niliendeshe kwa Faida kubwa Mimi nimsadie mama kutekeleza Ilani ya chama
 
PPP ni miradi ambayo Haina uhakika ni stori za kutegemea Huduma za Mwekezaji.

Ukitaka mfano mzuri ni zile Barabara za EPC+F,,licha ya kusaniniwa Kwa mbwembwe mbele ya Rais hakuna hata robo inch imejengwa.
 
Eti dola bilioni 37 kwa jengo moja, mnajnga kitu gani, unajua kwa pesa za madafu ni sh ngapi? Unajua burj khalifa moja ni dola bilioni ngapi. Kwa hela hiyo si mnapata burj khalifa 20.😂🤣

Halafu unikumbushe deni la serikali ni kiasi gani sasa hivi, na alikuta deni ni kiasi gani?
 
Dola bilioni 37 imeandikwa wapi kamanda ?
 
View attachment 3154692
View attachment 3154691

Kuna mambo kwa kiburi chetu Cha uzima tunaweza kubishana lakini si-utendaji kazi wa Rais Samia Suluhu Hassan,

Nani asiyejua hii PPP ilianza tangu enzi na enzi lakini chini ya mama huyu matokeo ni haya na tutarajie mengine mengi.

Binafsi niko tayari kupigana na kumpigania Rais Samia Suluhu Kwakuwa faida yake kwenye nchi hii inaonekana​
===
Tanzania is mobilising at least $9 billion (about Sh25 trillion) in private capital to kickstart mega projects under the Public-Private Partnership (PPP) framework, according to the PPP Centre (PPPC).

Speaking at a seminar for the Parliamentary Standing Committee on Regional Administration and Local Government in Dar es Salaam yesterday, PPPC executive director David Kafulila highlighted the progress and significance of PPP in driving Tanzania’s infrastructure and development goals.

Currently, Tanzania is implementing over 84 projects through PPP, spanning infrastructure, hydropower, and other development sectors.

“The projects under PPPC are at various stages—agreement, feasibility studies, evaluation, procurement, and concept development,” Mr Kafulila explained.

“Key projects, such as the $340 million Kibaha-Chalinze road and the $1 billion construction of ring roads, are progressing well.”

Since the PPPC’s intensified focus on PPP projects in April, the Dar es Salaam Development Corporation (DDC) has been the primary project underway.

This project includes constructing a modern commercial complex in Kariakoo, one of Dar es Salaam’s busiest commercial districts.

The DDC building is envisioned as a multifunctional hub aimed at enhancing Kariakoo’s business appeal and attracting further investment. The project is expected to cost $37m.

Mr Kafulila emphasised that adherence to legal frameworks by all PPP stakeholders is essential for the long-term sustainability of these projects.

Additionally, he noted that the Tanzania Railways Corporation (TRC) is conducting feasibility studies to establish a new railway line connecting Kariakoo with Mlimani City and Tegeta, underscoring the government’s commitment to expanding urban transport infrastructure.

#TheCitizenUpdates
Hongera sana kaka yangu Kafulila kwani unapambana sana
 
Nani anauza nchi hebu weka sawa hili
PPP procurement has significantly higher transaction costs, both for the public sector and the private sector/contractor community. These higher costs are inherent in the higher complexity of the procurement, particularly during the tender process, but also in preparation/appraisal and monitoring resources. This disadvantage can be minimized if projects with only a certain significant capital size are procured. Provided a project is of a sufficient size, the PPP efficiencies are likely to outweigh the higher transaction costs;

delivered. However, this higher cost is part of the price of a more reliable quality of service. In traditionally delivered projects, the costs of ongoing quality monitoring are often less visible as they are seen as “business as usual” for the procuring authority, and therefore not costs of the project. Alternatively, monitoring does not occur at all, leading to a degradation in the quality of service; and

The PPP route appears to be more expensive in terms of financing, as the cost of private financing includes a risk premium in the form of a margin in interest rates and the equity Internal Rate of Return (IRR) requested by the private equity capital, which by definition is a more expensive financial instrument than the alternative of direct government financing. However, the government’s cost of borrowing understates the true cost of financing as it does not remunerate the government for bearing risk in the project.

This does not mean that the PPP option is by definition more expensive. However, if the project is unsuitable for a PPP solution, is poorly structured, or the procurement process or the contract is poorly managed, the use of expensive private finance is unlikely to be offset by other efficiencies. This creates an unexpected extra burden in terms of affordability that is not compensated for by the efficiency savings.

a risk that PPPs will result in excessive budget commitments that threaten long-term fiscal sustainability. When a PPP is not recognized as contributing to public debt, there is a risk of ignoring/dismissing the long-term fiscal implications. Long-term budget sustainability may be endangered as a result. This may be offset with a robust appraisal (which is more demanding than in a normal procurement) and an appropriate policy framework in terms of controlling aggregated PPP commitments (see chapter 2 for further information on this matter). Examples of excessive fiscal risks are discussed in PPP Reference Guide, Version 2.0 (World Bank, 2014);
Rigidity: As a long-term contractual commitment for the public party, a PPP implies rigidity in budget management (potential renegotiations of a contract to decrease costs in an unforeseen economic downturn are costly). The only way to handle rigidity pitfalls is by controlling the aggregated exposure of PPPs and analyzing affordability carefully (chapter 2.8.5 provides a description of the relevance of reporting and accounting); and
Lack of competition (post award): After the signing of the contract, contract renegotiations are frequent. When this happens, being a monopolistic supplier, the private operator has an advantage in negotiating with the government compared to a supplier in a competitive market (OECD 2008). The only way to mitigate these risks is to build flexibility for change into the contract, together with clear boundaries. Chapters 7 and 8 deal extensively with contract change matters.

manageable by the government so as to substantially eliminate or mitigate them. Similarly, PPP may not be appropriate if the government does not have mechanisms of control in place (for example, control of aggregated exposure and proper affordability analysis).

A project needs to fit with the PPP tool, and it should be recognized that PPP procurement is not appropriate for every infrastructure project.

Furthermore, a particular country may face additional challenges to develop the PPP route successfully, which relates to macro-economic conditions and the general framework for doing business in the specific country. (This is explained below in section 5.6).

Sasa tunao viongozi na wasimamizi wenye nia hiyo, ikiwa udart Tu ni Changamoto
 
Back
Top Bottom