Bila kodi, mikopo wala tozo Serikali kutekeleza miradi ya Tsh 25T

Tunaweza kuchukua mazuri ya PPP ya Mkapa tukachanganya na PPP hii ya mama Samia huenda tukapata kitu Bora kabisa,
Mimi nashauri PPP iwe kwenye miradi mipya tu hii ya Zamani iachwe Serikali ipambane nayo
Umeongea kwa ufasaha sana hapa
 
Tunaweza kuchukua mazuri ya PPP ya Mkapa tukachanganya na PPP hii ya mama Samia huenda tukapata kitu Bora kabisa,
Mimi nashauri PPP iwe kwenye miradi mipya tu hii ya Zamani iachwe Serikali ipambane nayo
Ipi hiyo PPP ya Che Nkapa
 
Hongera Kafulila pamoja na kelele nyingi umesimama imara
 
Kama tukiamua kuipa nguvu hii PPP basi nchi inaweza ikapiga hatua kubwa za kimaendendeleo
 
Hongera Samia
 
Kazi za Samia ni kubwa mno,
Kama tunataka maendeleo ni Samia tu
 
Hao Private wenyewe wapo?
 
Boss Adani kafunguliwa mashtaka ya rushwa kule, boss Kafulia tupe updates, tupo salama na mpunga wetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…