4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Dadaki ipo siku watajificha uvunguni mwa meza mda mwalimTaarifa kutoka kitengo chetu inaonyesha kwamba wako 100
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dadaki ipo siku watajificha uvunguni mwa meza mda mwalimTaarifa kutoka kitengo chetu inaonyesha kwamba wako 100
Mbona hapo watu ndiyo walikuwa wanaingia uwanjani?Naona watu wamejaa knoma kuja kusikiliza nondo kutoka kwa mwamba Lissu, vp hakuna picha ya juu ili tuone umati vizuri kama hii 👇 ya mkutano wa Chadema ila jukwaa la juu ina picha ya Mwinyi wa CCM.?
View attachment 3010238
Umekuja kunivuruga, umevurugika mwenyewe.Naanzia hapa.Sasa unatafuta ugomvi na nipo tayari kwa chizi kama wewe.
Haya unataka tuanzie wapi kwenye uchizi wako au huko unakopelekwa chooni?
Mimi sina muda tena wa kusoma takataka zako hapa. Nijuavyo ni kuwa zinatoka kwa chizi. Sina muda wa kusoma hayo matakataka mengine sasa.Kilichobaki ni kueleza uchizi wako tu basi.Umekuja kunivuruga, umevurugika mwenyewe.Naanzia hapa.
Issue ni kwamba...
maneno ya Laigwanaan Tundu Lissu ni dalili kuwa yeye ana "Phobia" ama Woga na hofu saa zote.
Na hiyo inatokana na yeye kuwa mhanga wa kupigwa risasi. Usimwombee binadamu mwenzako.
Yaani kesha ng'atwa na nyoka na hivyo sasa anaweweseka kila anapo sikia mlipuko, anapoona watu ambao hawajui ama kama anavyodai, anaona watu "Wasiojulikana", na itoshe kila anapokuwa jukwaani ama kwenye V8. Dah PTSD ama Post Traumatic Disorder sio mchezo jamani. Usiombee.
Kwa msingi huo, sidhani kama Lissu ataweza kushika nafasi ya Uraisi, manake kila akiwa na wasiwasi kunaweza kuathiri maamuzi.
Urais sio lele mama. Ni jukumu kubwa. Yaani 'its a high stress role with immense rsponsibility' Kuwa na wasiwasi na woga saa zote inaweza ku affect maamuzi yake. Hilo laweza kuathiri utawala na mahusiano ya kimataifa na hatimae Usalama wa Taifa.
CHADEMA, nimekuwa nawashauri wangemchangia hela za kupata matibabu stahiki na sio kumnunulia chombo ambacho kinamtia wasiwasi za zote, kama li V8. Mjengeeni mtandao thabiti wa usaidizi ili aweze kukabiliana na woga na wasiwasi inapotokea.
Haya. Tuendelee.
Ona👇🏿 Nimelia sana umeniita chizi. Dah.Mimi sina muda tena wa kusoma takataka zako hapa. Nijuavyo ni kuwa zinatoka kwa chizi. Sina muda wa kusoma hayo matakataka mengine sasa.Kilichobaki ni kueleza uchizi wako tu basi.
Hii itanisaidia kitu gani mimi kutambua kuwa wewe si chizi. Mbona unazidi kunithibitishia uchizi wenyewe hasa unaokusumbua kichwani mwako!Ona👇🏿 Nimelia sana umeniita chizi. Dah.
Kama hutaki kusoma utahadithiwa![]()
Unatisha weye. Leo umekumbuka mule shimoni ulipopasua na fuvu lako...mkunga lazima alipata tabu-Bado unataka Uchizi?Haya unataka tuanzie wapi kwenye uchizi wako au huko unakopelekwa chooni?
Haya unataka tuanzie wapi kwenye uchizi wako au huko unakopelekwa chooni?
Inawezekana hujalipwa ndiyo maana uchizi umekuwa mkubwa kiasi hiki leo.Chagua mwenyewe. Wewe unataka kumalizia wapi
Unatisha weye. Leo umekumbuka mule shimoni ulipopasua na fuvu lako...mkunga lazima alipata tabu-Bado unataka Uchizi?
Anzia kwa Mkunga wa Hospitali uliyozaliwa. Atakuhadithia.
Usipende kushobokea.
Anayesumbuliwa ni Lissu hapo. Ama unajifanya huoni?Hii itanisaidia kitu gani mimi kutambua kuwa wewe si chizi. Mbona unazidi kunithibitishia uchizi wenyewe hasa unaokusumbua kichwani mwako!
Mnashundwaje kuwasambaratishaTaarifa kutoka kitengo chetu inaonyesha kwamba wako 100
Ninachotafuta hapa ni kujuwa uchizi wako hasa unanzia wapi na utaishia wapi. Hayo mengine sina muda nayo.Anayesumbuliwa ni Lissu hapo. Ama unajifanya huoni?
Wewe unajibishana na chizi?
Tuendelee ama uje kivingine utukane kama kawaida yako.
Ujumbe ukufikie.
N kwel mkuu, tena hapo ilikuwa asubuhi kabla ya mkutano ila badae watu walibidi kupanda kwenye miti kushuhudia mkutanoMbona hapo watu ndiyo walikuwa wanaingia uwanjani?
Mm sijasoma, nilikuwa napitia tuu na ukweli n kwamba muda wa hizo picha n saa moja asubuhi, ndugu mtoa mada ameandika saa tatu kwa makosaHuko kwenye jiografi yenu huwa picha haziwadanganyi?
Hapana, niseme haziwadanganyi, lakini hamna uwezo wa kuzisoma hizo picha. Halafu unataka watu waamini kuwa mtu kama wewe naye unajihesabu kuwa umesoma!
Karibu.Inawezekana hujalipwa ndiyo maana uchizi umekuwa mkubwa kiasi hiki leo.
Najua siku zote wewe ni chizi, lakini leo umetia fora.
Wewe itabidi uweke 'appointment' nyingine, saa hizi nipo 'busy' na chizi mmoja.Mm sijasoma, nilikuwa napitia tuu na ukweli n kwamba muda wa hizo picha n saa moja asubuhi, ndugu mtoa mada ameandika saa tatu kwa makosa
Ahadi ni ahadi. Ninapoweka ahadi na mtu sirudi nyuma.Karibu.
Nakwambia hivi, Lissu maybe suffering from PTSD. Dalili zake zinaonekana. Wewe unasema nimekuwa chizi, na sio hivyo tu unasema Unajua siku zote.
Swali: Kama ulikuwa unajua siku zote hizo nabulikuwa unajibishana na chizi, wewe inakufanya uwe nani?😂😂😂😂😌
Ama nakuwa chizi tu Nikimtaja Tundu Lissu? Manake ndio imekuwa Modis Operandi yenu Wana CHADEMA-anayemtaja Lissu ama Mbowe anatukanwa.
Endeleeni vivyo hivyo. It just motivates me. Wananchi ni lazima wajue Ukweli.
Uraisi wa Tundu Lissu utaligharimu Taifa.
Lets go.
Kumbe hata huna ulijualo.Ninachotafuta hapa ni kujuwa uchizi wako hasa unanzia wapi na utaishia wapi. Hayo mengine sina muda nayo.
Ccm wanaplan kummaliza tenaHuu hapa ni Mkutano wa hadhara kwenye Kijiji cha Kinyeto, Jimbo la Singida Kaskazini, uliofanyika leo saa 3 asubuhi .Ikumbukwe kwamba Lissu amekwisha toa angalizo la kufuatiliwa na kikundi cha Wasiojulikana, ambako tayari kishawashitaki kwa umma.
Pia soma Kuelekea 2025 - Ushauri kwa Tundu Lissu: Omba ulinzi kabla ya kuendelea na michakato
View attachment 3010201View attachment 3010204
Chadema inaendelea na Ratiba zake bila kujali vijana Wajinga waliosambazwa mitandaoni kwa Ujira duni ili kuizushia uongo
Hapa umeandika kitu gani?Kumbe hata huna ulijualo.
Unaanza kuungaunga tu.
Huko juu umedai Unajua mimi ni chizi wa siku nyingi.
Halafu unakuja unatingisha mkia unasema "Ninacho tafuta hapa ni kujuwa" Uchizi wako. Mbula.
Hebu waeleze wanaosoma hapa. Hivi inakuwaje useme unajua mimi ni chizi siku zote halafu nataka nikueleze uchiz wangu nimeanzia wapi?
Ni Hivi Bwana Kalamu.
Ukweli ni kwamba Tundu Lissu alipigwa risasi, na kulingana na taarifa zenu nyie machawa, alipigwa Risasi 40, 32, 16 -chagua lako mwenyewe.
Ni Ukweli Lissu ni Mhanga wa kupigwa risasi.Hakika simwombei mtu yeyote yule. Na ninasema hivyo kwasababu Kuanzia Babu yangu aliyepigwa Risasi akiwa vitani Vita kuu ya pili ya Dunia, Ndugu zangu waliopigwa Risasi Vitani Uganda. Rafiki yangu wa karibu alipigwa risasi, Cose range- Nane tumboni;wote wali survive ila wote walikumbwa na PTSD-First hand experience.
Nakwambia hivi, hao jamaa nilioorodhesha wote walikuwa na akili kubwa na wote wamechangia katika Taifa hili, including Lissu, walakin haina maana hawakuwa na matatizo ya hapa na pale kama yanavyomtokea lissu. It does not negate the fact, Tundu Lissu has some form of PTSD. Haijalishi. Tatizo ni Uwezo wake wakuja kushika nafasi ya Juu kabisa ya Uongozi, kama vile Uraisi.
In short, and in light of what he has said. TL haitoiweza Ofisi ya Raisi na mikiki mikiki yake. Na hilonsio maoni yangu tu, bali ni maoni ya Kisayansi/Utafiti pamoja na ushahidi unaothibitishwa na Data.
Unataka Uchizi gani mwingine?
Huna ulijualo. Umebubujikwa na mihemeko na propaganda za ki Uhasama. Uzuri wake nimefunzwa kukabiliana na mbwa kama wewe.
Tuendelee