Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kama ni kimbelembele sawa lakini kutumwa no!. A day before Zitto hajamuombea msamaha Mbowe, Zitto alimtembelea Mbowe Segerea, hatujui walizungumza nini, hivyo it might be it was out of huruma ya mateso ya jelaMtu mjinga tu ndio anaweza kusema Zito hakutumwa ili ionekane serikali imemuachia kwa kuombwa. Wafuasi wote wa CDM walimwambia Zito aache kimbelembele,
I like the firmness in you!. Msimamo huu ni sawa na ule wa Nelson Mandela, heri kufungwa gerezani ukiwa na msimamo huru kuliko kuwa huru kwenye uhuru wenye masherti!. Heri kufa ukiwa huru kuliko kuwa hai lakini ni mtumwa!.ni bora Mbowe afungwe kwa uonevu, kuliko kupewa msamaha huku akiwa hana kosa.
Hili neno!.CDM hawahitaji umoja ambao unatumika kuharibu lengo. Kama CDM ni kikwazo kwa hivyo vyama vingine, mbona vyenyewe haviungani ili kupambana na CCM?
Duh...!, kuna vyama vya upinzani na vyama vya maigizo ya upinzani?!.Katika vitu ambavyo CDM hawapaswi kuingia mtego ni pamoja na kuunda umoja wa vyama vingine vinavyoigiza ni vya upinzani
Hili niliwahi kushauri, chama kinaposhidwa uchaguzi Mkuu, viongozi wanawapisha wegine!.Huyo Mbowe tumeshamstukia muda mrefu, sio hata lazima ww utuambie. Toka Mbowe amempokea Lowassa, alipaswa kukaa pembeni mara baada ya Lowassa kushindwa kuupata urais kwa njia ya shortcut.
Kauli hiyo ni haki kwa registered members wa Chadema only, sisi wengine uwezo wetu ni kushauri tuu na kutoa angalizo bila ku point fingersInshort Mbowe hastahili tena kuwa mwenyekiti wa CDM, na hili nimelizunguma muda mrefu.
Sii kweli, maridhiano sio utapeli, it's real na mambo mazuri yanaonekana!, mikutano rukhsa, sheria zinabadilishwa na katiba inafuata!. Mama is for real!.Narudia tena, hayo maridhiano ni utapeli kama utapeli mwingine.
Naunga mkono hoja, hili hata mimi nimelisema!. https://www.jamiiforums.com/threads...rais-samia-haki-kuhisaniwa-hadi-lini.2053265/Mikutano ya hadhara ni haki ya kikatiba na sio hisani,
Sii kweli kuwa CCM haina uhalali, CCM ina uhalali wa kuchaguliwa katika uchaguzi Mkuu wa kidemokrasia ya Kiafrika, African Democracy ambayo figusu, bao la mkono na determinant ya ushindi sio vote cast but votes count.ila kwa ajili ya kutawaliwa kwa shuruti na chama kisicho na uhalali wa umma,
Sio kweli kuwa CCM inashirikiana na vyombo vya dola, no!, CCM ni chama dola, hivyo vyombo vya dola ni vyombo vyake, na katiba pia ni katiba yake!, hivyo inaifanya itakavyo. https://www.jamiiforums.com/threads...ala-bali-pia-ni-chama-dola.36662/#post-557165ndio maana unaona chama hicho kikishirikiana na vyombo vya dola chini ya katiba mbovu kuivunja hiyo katiba.
Watanzania sio watu wa fujo na machafuko, Watanzania ni watu pisi sana!, tume huru na katiba mpya itapatikania mezani kwenye mazungumzo.Nasisitiza tena, machafuko pekee ndio yataweza kuleta tume ya kweli ya uchaguzi, na katiba mpya yenye matakwa ya wananchi.
P