Bila kulewa huwa sipati usingizi kabisa

Fanya mazoezi kabla ya kuingia kulala mazoezi mazuri ni ya kutoa jasho. Pia ushughulishe mwili usiwe umekaa tu kutwa nzima. Na usitumie vinywaji kama energy na kahawa.
Nimeanza kufanya,sema mazoezi nayo yanahitaji commitment.
 
Nenda ukalewe baa za manzese alafu usubiri ubebwe, asubuhi ukiamka ukikuta wamekupasulia mayai ya kutosha hutakaa utamani tena kunywa pombe
 
Nimeanza kufanya,sema mazoezi nayo yanahitaji commitment.
Ukiweza kutoboa wiki kila siku bila kupumzika kwa kufanya mazoezi basi itakuwa rahisi. Usiwe unafanya leo alafu kesho unaacha kwa mtindo huo utaona uvivu
 
Fanya mazoezi jioni na papuch usiku ni dozi poa sana utalala fo fo fo
 
Simple tu.. Usicomplicate sana...

Lala bila kunywa hata ukikosa usingizi lwa siku 1 au 2 sio mbaya..

Lakim siku ya 3 lazima ulale.. Kwa sbbu mwili utakuwa umechoka na unahitaji kupumzika..

Ondoa mawazo kichwani ya "usipokunywa hupati usingizi"

Fika kitandan waza mambo mengine kbsa yasiyohusu pombe na kukosa usingizi.. Ukiweza ku overcome siku 3.. Bas utakuwa usha solve tatizo
 
Usipoji control utazeeka mapema sana kabla ya umri wako.
 
Endelea tu kunywa pombe 🍷🥂🍻🍺mkuu ili utuwakilishe vizuri sisi walokole ambao hata ladha yake tu hatuielewi!
 
Komaa hivyohivyo usingizi utajipendekeza wenyewe. Usiende kulala kabla hujahisi kusinzia, kama uko sehemu za baridi oga maji ya Moto kwenye joto ya uvuguvugu, usikae Sana baada ya kuoga kabla ya kulala.
 
Endelea kulewa
 
Punguza stress za mapenzi we sio wakwanza kufumania mkeo akiliwa tafuta mrembo mwingine akutibu msongo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu umeshawahi kuwa mnywa pombe?,Maana ushauri wako sijui km unaweza kumsaidia mtu ambaye amekubuhu kwenye pombe.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…