Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
Wazee naomba kufahamamu ni timu Gani inatoa jezi nzuri Kila msimu Kwa dunia nzima bila kuonyesha ushabiki hata kama huishabikii ila sema tu jamaa wanatia jezi Kali nasubiri majibu yenu wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuukWa afrika ni waarabu
Kwa duniani real madrid
Njaa inakusumbua akiliAcha utoto mkuu,inaonesha wewe ni mbu×3 rage apewe maua yake.
Sawa mkuukwenye swala ajezi ajax hana mpinzani Dunia nzima.
hawa jamaa world class kits designer
Mkuu Moja tu hapo umetaja nyingiMan United, PSG, Liverpool, Yanga, Juventus, Chelsea, Arsenal
Hizo team kwa miaka mingi zimekuwa zikiongoza kwa kuwa na jezi nzuri sana
Sawa mkuuNaichukia Barcelona ila jersey Yao sikosi
France national team
Chelsea
Sawa mkuuWrite your reply...ken gold na sengandere ya mkombwe
Sawa mkuuArsenal
njaa kivp darling?Njaa inakusumbua akili
Saws mkuuKwenye jezi Yanga ndo baba lao