Bila kupepesa macho, Wanawake wengi mnaenda gym kujiuza sio kufanya mazoezi

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Wadada mnaenda gym kudanga na sio kufanya mazoezi kule mnaenda kudanga kutafuta watu muwachune hela za pango

Kipindi cha gym kujaa ni mwezi wa sita na mwezi wa kumi na mbili ndio gym inakuwa na wateja wengi wakike kama uongo mbona ukimpata dango unaacha kufanya mazoezi?

Na mkiacha mbona unabadilisha sehemu ya mazoezi?

Ruksa kujitetea na kutoa povu
 

Na bila kupepesa macho wakaka mnaoenda gym hamuendi kufanya zoezi mnaenda kununua wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…