Bila kupewa promo na Diamond Platinumz, Alikiba si chochote wala si lolote

Hayo ni maoni yako kama shabiki wa "dimond" na ushabiki hua ni upofu na uchizi flani hivi ndani yake, lakini mtu akili zikiwa zimetulia huwezi hata kuwaza upuuzi kama huu
 
Ila wewe Huo uchawa unakutesa sana...Hao wote wawili ni wazuri Kwa namna tofauti
 
domolanda hana jipya kwenye mziki.. WACHA UJINGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…