Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
🤔🤔🤔💭Kanda ya Ziwa ndio kanda determinant ya urais wa Tanzania, hivyo VP wa 2025 ni Dotto Biteko, vinginevyo amtangaze kabla kuwa ndie the next PM.
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤔🤔🤔💭Kanda ya Ziwa ndio kanda determinant ya urais wa Tanzania, hivyo VP wa 2025 ni Dotto Biteko, vinginevyo amtangaze kabla kuwa ndie the next PM.
P
🌤️🙋♂️🎯✍️👍👏👊🤝👌🙏Biteko ana influence gani nje ya jimbo lake. Nani alimjua Biteko kanda ya ziwa, Shibuda alikuwa anajulikana kanda ya ziwa kushinda Biteko.
Shibuda alipokatwa CCM aliweza kulitetea jimbo lake nje ya CCM. Mwambie Biteko atoke CCM uone kama ana ushawishi wa kutetea jimbo lake nje ya CCM.
Hao watu hawana impact yeyote ndani ya CCM na watanzania wala hawana ubaguzi kwenye kura za taifa.
Magufuli hakuwa anapendwa kanda ya ziwa tu, bali Tanzania nzima.
Mengine ni kujijaza ujinga tu, kanda ya ziwa kama mikoa mingine aihitaji baraża la mawaziri lililojaa wasukuma kufanya maamuzi.
Kwanza ni kuwa dharau na kuwapa label ya ukabila ambayo haipo huko.
Ujakutana na wasukuma waliokuwa serikalini enzi za Magufuli (hawataki, hata kumsikia).
Mafisadi hayana dini, wala ukabila; na wananchi hawana dini wala ukabila kwenye maamuzi yao zaidi ya imani tu na mtu wakuwatatulia shida zao.
Mengine ni ujinga mtupu mnaojijaza vichwani kwenu tofauti na fikra za watanzania.
Kanda ya ziwa insonwspiga kura wangapi, weka namba hapa otherwise ni bla bla.Baada ya kifo cha Magufuli na Samia Suluhu Hassan kuanza kuachana na yule aliyemtengeneza, kumekuwa na juhudi za makusudi kwake na chama cha Mapinduzi kushikilia dola. Hata hivyo, wawili hawa wanajua kuwa bila ya kura za Kanda ya Ziwa, hakuna anayeweza kushika madaraka nchini.
Tokana na utendaji na ushawishi aliokuwa nao Magufuli, yeyote anayejitahidi kumweka kapuni ataishia mwenyewe. Kuepuka balaa hili, Samia alipinda katiba na kumteau Dotto Biteko kuwa naibu waziri mkuu cheo ambacho ni upotezaji wa fedha za umma mbali na kutokuwamo kwenye katiba.
Janja ya pili ni kumpa Stephen Wasira umakamu mwenyekiti wa CCM mbali na kuteua mawaziri kama Innocent Bashungwa na Stagomera Tax wanaotoka mikoa ya Mwanza na Kagera wakati Biteko anatoka Geita. Kwa vile mkoa wa Mara mmoja wa mikoa ya Kanda ya Ziwa haukuwa na waziri. Hivyo, wameamua kumpa umakamu mwenyekiti Wasira ili kuirubuni mikoa husika isiwapige kibuti.
Je hii janja itafanikiwa na kuiwezesha CCM kuendelea kushika dola mbali na uchakachuaji wa uchaguzi? Je hii janja itaepusha mgawanyiko ndani ya chama baada ya magwiji kama Makamba na Kinana kuonekana kujiweka mbali nayo?
Je janja hii itazima hasira za wale waliokuwa wakimuunga mkono Magufli walioutupwa nje ya ulaji?
Je bila Kanda ya Ziwa, ccm inaweza kuendelea kushikilia dola?
Je bila Kanda ya Ziwa, Samia anaweza kuwa rais tena baada ya kuupata kwa mkono wa Mungu?
Karibuni tujadili na kudadavua pamoja.
usi mind mkuu ukiona mkurupuko wowote au hasira yoyote juu ya hili andko jua n mccm tu uyoMkuu ndio maana mnafeli mitihani kwa kutoelewa kilichoandikwa, wapi pameandikwa Magufuli ndie aliyemtengeneza huyo unayemsema? rudia tena kusoma ndio utajua aliyeandika anamaanisha mtu huyo uliyemuandika na sio Magu! Unakurupuka na mambo ya ukabila wakati hata andiko hujalielewa.
NAPE alilithibitisha hili pale Bukoba.CCM huwa waanshinda bila hizi mambo zenu za kanda, wilaya au mkoa...nothing matters, its just Science 😅
Well said!!Kanda ya Ziwa ndio kanda determinant ya urais wa Tanzania, hivyo VP wa 2025 ni Dotto Biteko, vinginevyo amtangaze kabla kuwa ndie the next PM.
P
Acha ukabila na ukanda hautakusaidia lolote.Baada ya kifo cha Magufuli na Samia Suluhu Hassan kuanza kuachana na yule aliyemtengeneza, kumekuwa na juhudi za makusudi kwake na chama cha Mapinduzi kushikilia dola. Hata hivyo, wawili hawa wanajua kuwa bila ya kura za Kanda ya Ziwa, hakuna anayeweza kushika madaraka nchini.
Tokana na utendaji na ushawishi aliokuwa nao Magufuli, yeyote anayejitahidi kumweka kapuni ataishia mwenyewe. Kuepuka balaa hili, Samia alipinda katiba na kumteau Dotto Biteko kuwa naibu waziri mkuu cheo ambacho ni upotezaji wa fedha za umma mbali na kutokuwamo kwenye katiba.
Janja ya pili ni kumpa Stephen Wasira umakamu mwenyekiti wa CCM mbali na kuteua mawaziri kama Innocent Bashungwa na Stagomera Tax wanaotoka mikoa ya Mwanza na Kagera wakati Biteko anatoka Geita. Kwa vile mkoa wa Mara mmoja wa mikoa ya Kanda ya Ziwa haukuwa na waziri. Hivyo, wameamua kumpa umakamu mwenyekiti Wasira ili kuirubuni mikoa husika isiwapige kibuti.
Je hii janja itafanikiwa na kuiwezesha CCM kuendelea kushika dola mbali na uchakachuaji wa uchaguzi? Je hii janja itaepusha mgawanyiko ndani ya chama baada ya magwiji kama Makamba na Kinana kuonekana kujiweka mbali nayo?
Je janja hii itazima hasira za wale waliokuwa wakimuunga mkono Magufli walioutupwa nje ya ulaji?
Je bila Kanda ya Ziwa, ccm inaweza kuendelea kushikilia dola?
Je bila Kanda ya Ziwa, Samia anaweza kuwa rais tena baada ya kuupata kwa mkono wa Mungu?
Karibuni tujadili na kudadavua pamoja.
Acha unafiki kujifanya hakuna ukabila wakati upo. Mlizoea kumtuhumu Magufuli kupendela kanda ya ziwa sawa na ambavyo Samia sasa anapendelea Visiwani. Mnadhani hatuoni?Acha ukabila na ukanda hautakusaidia lolote.