Bila kuridhiana na wananchi wote hataponya majeraha ya wanachi

Bila kuridhiana na wananchi wote hataponya majeraha ya wanachi

a sinner saved by Christ

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
4,014
Reaction score
4,600
1)Bila kuridhiana na wananchi wote hataponya majeraha ya wanachi

2)vyama vya siasa ikiwepo chadema wao sio wawakilishi wa wananchi ambao wengi wao sio hata wanavyama wa vyama vya siasa,chadema hawana uhalali wa kuridhiana badala ya wanachi wenye majeraha.

Japo baadhi ya wananchi waliweka matumaini yao kwa chadema ya LISU kwa kuamini kwamba inasimama katika kupinga uovu na kutetea haki utawala wa sheria na katiba.,kutetea ustawi wa taifa,matumaini ya taifa jipya nchi ya asali na maziwa kipitia chadema ya lisu.

3)MSIMAMO/SERA MPYA itakazo kuja nazo CDM baada ya kufunguliwa kutoka jela kifungo cha kisoasa,baada ya chadema kufanya maridhiano serikali MSIMAMO WAO MPYA WATAKAOKUJA NAO NDIO UTAKAO PELEKEA wananchi IMA waendelee kuiamini chadema au wapoteze imani yao kabisa kwa chadema na cdm iwe imekufa kabisa mioyoni mwa wananchi na ipoteze heshima yake mioyoni mwa watu.

N:B wananchi wa sasa hawa wengi wao vijana gen z ambao kwanza sio wafuasi wa chama chichote ,ila ni hakika kuwa SIO WAJINGA wanauelewa mkubwa wa mambo ya kisiasa,uchumi ,kijamii,utandawazi karibu kila mwananchi anamiliki simu janja na amehitimu chuo kikuu boda boda wengi wana masters degree mbili na elimu ya chini ni ni wahitimu wa kidato cha nne shule za elimu bure ya sekondari za kata za bure ..

NANI ATARIDHIANA NA WANANCHI,JE NI CHADEMA? ngoja tuone wakitoka jela watakuja na sera gani? wataongea nini?
 
Maridhiano yafanyike huku mitaani kwenye familia zilizoathirika na mauaji , serikali ikiri kwamba ilikiuka misingi ya haki za binadamu, familia zipewe fidia, walipofukia mamia ya vijana wakafukue, wapime DNA watu wapewe miili ya ndugu zao wakazike. Watumie mbinu kama za mauaji ya kimbari ya Rwanda. Hapo tutapona. Chadema hawahusiki na maandamano hivyo kama kuna maridhano ni kukubaliana kuhusu katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi pekee
 
Kwanza huyo wakili Kisabo sijui Gesabo, sio msemaji wa chama.
Pili ilikuaje akaenda kumtembelea Lisu gerezani wakati chama hakijui, familia haijui na wanasheria wa Lisu hawajui..!!??
Stuka mkuu, wandewa tushaisoma picha...🙇‍♂️
 
Back
Top Bottom