Bila kuwa na katiba mpya itakayoondoa wabunge vilaza tutegemee migomo zaidi au pengine maandamano kama ya Kenya.

Mimi ukiniambia faida ya Katiba Mpya ndio nitaitaka.

Nitajie faida zake
 
Mshenzi wewe,hoja kama hii hutolewa na wajinga,wabinafsi na wapuuzi wasio kuwa na future na vizazi vingine. No wonder sifa ya mbunge anayetunga Sheria na sometimes kuhusika Kwenye mikataba complex ni kujua kusoma na kuandika.
Hawajui madhara yatakayotokea baadae, (they do not know the aftermath of policies approved)
 
We unafikiri ni Bunge!!?

Kwamba ni TRA !!?

Kuna mtu anatafutiwa uhalali wa kwenda kulea wajukuu huko makunduchi kwao!!

"Labda mambo yaharibike sana"in kikwete's voice
 
We unafikiri ni Bunge!!?

Kwamba ni TRA !!?

Kuna mtu anatafutiwa uhalali wa kwenda kulea wajukuu huko makunduchi kwao!!

"Labda mambo yaharibike sana"in kikwete's voice
Mkuu kwa jicho la mbali naona Rais anahujumiwa. Huenda hawahawa kina Nchembe ndo wako nyuma ya pazia kihuni. Haiwezekani waziri anakuwa na kiburi cha hali ya juu huku akijua kabisa anaisababishia serikali balaa.
 
Katiba mpya ni takwa la CHADEMA ili waingie ikulu na kupukutisha hazina. Katiba iliyopo inatosha kwa sasa. Labda ikiwapendeza wabunge wafanye kitu mama aongezewe muda kwasababu ndo hitaji la wananchi wengi kwa wakati huu.
 
Mimi ukiniambia faida ya Katiba Mpya ndio nitaitaka.

Nitajie faida zake
Faida yake ni majambazi ya taifa hili ccm kuondoka madarakani kisha majizi yote kwenda jera haraka iwezekanavyo.
Kisha tujenge taifa bora lenye kuheshimiana
Si taifa la majizi ccm
 
Mkuu kwa jicho la mbali naona Rais anahujumiwa. Huenda hawahawa kina Nchembe ndo wako nyuma ya pazia kihuni. Haiwezekani waziri anakuwa na kiburi cha hali ya juu huku akijua kabisa anaisababishia serikali balaa.
Wimbo wa udikteta uliimbwa hadi ukakolea midomoni mwa watz kipindi cha mzilankende na justification ya next stage ikapatikana!!

Na sasa nayaona yale yale hadi mkojani anashindwa amwamini nani!!

Huko tabora ndipo turufu pekee iliyokua imebaki napo pamechacha yule mzee mwenyekiti wa nembo kaitwa na maanani!!

Sasa anawatuma kuna mama wa visiwani kwenye kata za Mboka ilu sijui wa ORGANISE KITU GANI!!

NGOJA TUONE!!
 
Kenya Kuna Katiba Mpya kabisa,migomo imeisha? Acheni ujinga basi
Wewe ndio uache ujinga umeshasema Kenya je hapa Tanzania ni lini Katiba ilibadilishwa? We need some changes usitake kushawishi watu waishi kikondoo wakati viongozi wanajiita Chura unategemea tunatengeneza Taifa la aina gani?
 
Kenya Kuna Katiba Mpya kabisa,migomo imeisha? Acheni ujinga basi
Katiba mpya, bunge huru, serikali ya kidemokrasia pamoja na uchaguzi uliokua wa huru na haki

Kuna cha kujifunza hapa….. with all the systems, interviews kwa wakuu vya waasisi zao, a country with better economy and advanced TEC and more empowers youth…. Yote haya yakiwemo, Bado tumeona chaos, rais na makamu wanasutana, rais na KQ wanalumbana, IS director na vp wachambana etc

Something to learn here
 
Vyote hivyo havijaondoa njaa,Rushwa,migomo,ukabila,ugumu wa Maisha,Madeni,mfumuko wa bei na upuuzi mwingine.

Faida ya Katiba Mpya ni nini hasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…