ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mimi ukiniambia faida ya Katiba Mpya ndio nitaitaka.Kwanini ccm hamtaki katiba mpya hii ya zamani imetoa msaada gn wa kuongeza kipato zaid ya kunufaisha majizi ccm kuiba mali za umma tu na kujilimbikizia mali
Na kujihakikishia utawala kwa wizi wa kura
We ulisikia wpi watangaza matokeo ya uchaguzi wameteuliwa na mwenyekiti wa ccm taifa huo si usenge huo.
Miaka zaidi ya 60 ya uhuru kwa katiba hii mbovu mmeshindwa hata kuwapa watz maji tu.
Zaidi mmefilisi mashirika ya umma, viwanda mmevimaliza
Kila mwaka CAG mteule wa mwenyekiti wa ccm anasema wizi wizi kila kona hatua hazichukuliwi kisa katiba ya kisengerema hii.
Viongozi wakuu wamejiwekea kinga ya kutoshitakiwa hata nikikuuliza hapo sababu ni nn wao kujipa kinga hiyo kama kweli ni wema na waadilifu huna jibu kummmmma ww.
Nitajie faida zake