Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Bottom line, Messi hajachukua world cup back to back. Angekuchukua ingemfanya kuwa GOAT(Greatest Of All Times) bila mjadala, kwa sasa the debate is still on.
Hata hivyo, the football has graced us with two of the most decorated footballers the world has ever seen(Messi and Ronaldo), ukibeza ni wewe...
Kiongozi vipi, povu la nini 🤣😂Inashangaza kuona kuna ******* mashabiki wa Ronaldo wanafurahia Spain kuifunga Argentina
Kuishangilia Spain ya kizazi hiki ni kuishangilia Barça timu iliyompa jina Messi duniani na kumpa kila kitu kwenye soka
Kwa hiyo wapi imesemwa kuwa GOAT lazima awe amechukua WC back to back?Bottom line, Messi hajachukua world cup back to back. Angekuchukua ingemfanya kuwa GOAT(Greatest Of All Times) bila mjadala, kwa sasa the debate is still on.
Hata hivyo, the football has graced us with two of the most decorated footballers the world has ever seen(Messi and Ronaldo), ukibeza ni wewe...
Messi hajachukua WC and that's it.Kwa hiyo wapi imesemwa kuwa GOAT lazima awe amechukua WC back to back?
Tuwekee kwanza picha ya Ronaldo akiwa amebeba ndoo ya WC kama legends Pele, Maradona, Ronaldo de lima, Zidane, na Messi
Kama hiyo hauna basi hata ya Ronaldo akiwa nusu fainali ya kombe la dunia
SHAKIRA kaingia Fainali za World Cup nyingi kuliko Penado hii ni maajabu
Watanzania wengi kwa ujumla, wako katika urefu wa takriban sm 160–170, kutegemea jinsia na umriHilo utajua wewe na andunje wako!
Muhimu Spain kabeba kombe
Moja tu kama hii ya Ronaldo tufunge huu mjadalaMessi hajachukua WC and that's it.
Mi sijui.Watanzania wengi kwa ujumla, unaweza kusema wengi wako katika urefu wa takriban sm 160–170, kutegemea jinsia na umri
Messi ana urefu wa takriban sm 170
Kwa hiyo unakubali kuwa Watanzania wengi ni maandunje kama Messi?
Hii kaweke ukutani kwako utakula na ugali.
Team Ronaldo umekoshwa na vijana wa La Masia sio?Mi sijui.
Ninachojua vijana wa Spain wamenikosha sana!
Hajachukua chochote! Hii ndio fact.
Dogo maumivu yakizidi muone daktariInashangaza kuona kuna ******* mashabiki wa Ronaldo wanafurahia Spain kuifunga Argentina
Kuishangilia Spain ya kizazi hiki ni kuishangilia Barça timu iliyompa jina Messi duniani na kumpa kila kitu kwenye soka
Baada ya kuwafunga ndo mnajua kuwa ni vijana wa La Masia?Team Ronaldo umekoshwa na vijana wa La Masia sio?
Waitoe wapi haaahaaah!