Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri jamaa ni KUNGUNI kama wewe ye anaeleza ukweli ijapokuwa J.P.M hayupoOyaaa, kubalini basi kuwa msela ni marehemu
Chuki ulionayo na wewe unaonekana mchawiNitakufa kwa heshima siyo kwa kuua wengine ndiyo na mimi nife
Afadhali amekufa kuliko kuishi na vibwengo kama weweNgangari chuma kafa kiboya sana sababu alikuwa havai barakoa
Labda nyumba yenu tu we kibwengo je huyu malaika wenu kafanya nn cha ziadaMleta mada acha upunguani wako na ujinga ulipitiliza!
Unajua tulipoteza ndugu zetu wengi kwa ujinga na ulimbukeni wa huyu mtu wenu?
Unajua tungelichukua hatua kama wenzetu tusingepoteza watu wengi kiasi kile?
Unajua kuna nyumba watoto wamebaki yatima kwa ugonjwa ule?
Halafu bila aibu unasema eti 'bila kile chuma' sasa 'chuma' chenu kimeliwa na kutu! pambaf!
We Mungu wako nani hasaNenda Chato kachimbe kaburi uzikwe karibu na mungu wako Magufuli
Kwanini wafe ndugu zako tuu wewe usife?Mleta mada acha upunguani wako na ujinga ulipitiliza!
Unajua tulipoteza ndugu zetu wengi kwa ujinga na ulimbukeni wa huyu mtu wenu?
Unajua tungelichukua hatua kama wenzetu tusingepoteza watu wengi kiasi kile?
Unajua kuna nyumba watoto wamebaki yatima kwa ugonjwa ule?
Halafu bila aibu unasema eti 'bila kile chuma' sasa 'chuma' chenu kimeliwa na kutu! pambaf!
Uliwapima?Hata akina Ben Mkapa, Agustino Mahiga, John Kijazi, Lwakatare, Ndassa, Maalim Seif ni hiyo hiyo COVID 19 ndiyo iliyowaua.
Jamii ya Kitanzania ilivyo illiterate eti wanampongeza kwa uzembe huu! Serious??
Duh ! Kuchukua tahadhari ni muhimu hata kwa ugonjwa wa mafua tu !! Kwahiyo tuendelee kuchukua tahadhari !!Uliwapima?
We jinga kweli, wanaokufa sasa wanakufa na nini?
Acha ubwege dogo
Mungu wa Ibrahim, Izaka na YakoboWe Mungu wako nani hasa
Asante mzeewaSHY kwa kuliweka kutaalamu.Kitu kilichoisaidia Tanzania na baadhi ya Nchi nyingi tu ni idadi kubwa ya watu katika nchi hizi ni vijana ambao immune system zao bado ni strong zikaweza kupambana na Hao corona virus na kuweza kutengeneza herd immune iliyosaidia vifo kupungua !! Lakini pia idadi ya wazee nchini sio kubwa sana! Hata hivyo wazee wengi tu walifariki ! Na kingine kilichosaidia huku Africa muda mwingi katika siku nzima watu wanafanya shughuli zao nje yaani outdoors sehemu kuna upepo mwingi ambao unasaidia kupunguza maambukizi !! Zipo factors nyingi zilizosaidia lakini watu wengi sana waliambukizwa na baadhi yao walifariki wengi wao wakiwa na umri wa miaka 60 na kuendelea !!
Empty head.
PanicRekodi na familia yako au ukoo...
Nafikiri yule jamaa alivyokuwa katili alikuwa akifurahia watu wanavyokufa! Kwa ushenzi na ukatili ule aliua watu wengi sana!Dogo, hata wewe utavuta Kama jiwe alivovuta, it's only a matter of time, usikejeli kifo dogo.
Kapime akili yako haiko sawa, tena utajikuta unapigwa pingu na break ya kwanza ni mirembe!Huo ndo ukweli.Watanzania tuliokoka na vifungo vya covid mara sijui omicron,Kwa sadaka aliyojitoa magufuli.Hilo liko wazi kabisa.
Kinyamkera wa kwanza huyuOyaaa, kubalini basi kuwa msela ni marehemu
Unaushaidi ukipelekwa mahakamani unawezatoaNafikiri yule jamaa alivyokuwa katili alikuwa akifurahia watu wanavyokufa! Kwa ushenzi na ukatili ule aliua watu wengi sana!