Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa lakini atabaki kuwa shujaa wa Taifa!! Ndani ya miaka mitano akatuingiza uchumi wa kati, makao makuu yaliyokuwa yameshindikana kuhamia dodoma yakawezekana kuhamia dodoma, mradi wa bwawa la kufua umeme (Stigler's George) ukaanza kwa nguvu, reli standard gauge ikaanza kwa kishindo!!! Hii miradi ilikuwepo miaka mingi lakini hakuna aliyekuwa na ubavu wa kuianzisha na kuiendeleza!! Mchukie utakavyo lakini alama ya maendeleo aliyotuachia haifutiki kamwe!!Oyaaa, kubalini basi kuwa msela ni marehemu
Wanaombeza ni wachache sana, namba hazidanganyi.Yale machanjo yame expire kuna jamaa huko Zenji alichanjwa wacha augue alafu ni mtu ambaye umri wake mkubwa yupo kwenye 70. Watu wa Tanzania wanasifiwa duniani kwa kumdharau JPM lakini wazungu wanajua ukweli kwamba yule bwana ni mwamba tena jiwe