Bila Magufuli tungesalimika magonjwa na chanjo zinazoendelea duniani?

Labda nyumba yenu tu we kibwengo je huyu malaika wenu kafanya nn cha ziada
 
Kwanini wafe ndugu zako tuu wewe usife?
 
Hata akina Ben Mkapa, Agustino Mahiga, John Kijazi, Lwakatare, Ndassa, Maalim Seif ni hiyo hiyo COVID 19 ndiyo iliyowaua.

Jamii ya Kitanzania ilivyo illiterate eti wanampongeza kwa uzembe huu! Serious??
Uliwapima?

We jinga kweli, wanaokufa sasa wanakufa na nini?

Acha ubwege dogo
 
Asante mzeewaSHY kwa kuliweka kutaalamu.

Waache wajinga waendelee kusema ni Magufuli
 
Mnachosha sana tuacheni tupumzike.
Yeye yuko wapi na Ungangari wake.

Za kuambiwa changanya na za kwako.
 
Huu Uzi niwa kupeana vitasa ,ngoja mi nikae mbali!![emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Dogo, hata wewe utavuta Kama jiwe alivovuta, it's only a matter of time, usikejeli kifo dogo.
Nafikiri yule jamaa alivyokuwa katili alikuwa akifurahia watu wanavyokufa! Kwa ushenzi na ukatili ule aliua watu wengi sana!
 
Huo ndo ukweli.Watanzania tuliokoka na vifungo vya covid mara sijui omicron,Kwa sadaka aliyojitoa magufuli.Hilo liko wazi kabisa.
Kapime akili yako haiko sawa, tena utajikuta unapigwa pingu na break ya kwanza ni mirembe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…