M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Huo ndio ukweli mchungu CDM.Bila Mheshimiwa Freeman Mbowe basi hakuna CHADEMA. Mheshimiwa kakipigania Chama toka Enzi, anatokea mwanaharakati "uchwara" anajidai ana uchungu. Huku hataki kuchangia Chama.
NB: Nafasi ya Mwenyekiti si ajira Bali ni kujitolea. Ni Bora sasa Wajumbe wampumzishe
Lisu ni mbeligiji hafai kuwa mwenyekiti wa chamaBila Mheshimiwa Freeman Mbowe basi hakuna CHADEMA. Mheshimiwa kakipigania Chama toka Enzi, anatokea mwanaharakati "uchwara" anajidai ana uchungu. Huku hataki kuchangia Chama.
NB: Nafasi ya Mwenyekiti si ajira Bali ni kujitolea. Ni Bora sasa Wajumbe wampumzishe
Hayo mawazo wangekuwa nayo wana ccm miaka ya 70,80,90s basi nyerere angevaki mwenyekiti mapak siku anaondoka dunianiBila Mheshimiwa Freeman Mbowe basi hakuna CHADEMA. Mheshimiwa kakipigania Chama toka Enzi, anatokea mwanaharakati "uchwara" anajidai ana uchungu. Huku hataki kuchangia Chama.
NB: Nafasi ya Mwenyekiti si ajira Bali ni kujitolea. Ni Bora sasa Wajumbe wampumzishe
Una passport yake?Lisu ni mbeligiji hafai kuwa mwenyekiti wa chama
🤓🤓🤓Kwani Iko hai?
Kama existence ya CHADEMA inamtegemea Mbowe, then CHADEMA isn’t a viable political party in the first place!Bila Mheshimiwa Freeman Mbowe basi hakuna CHADEMA. Mheshimiwa kakipigania Chama toka Enzi, anatokea mwanaharakati "uchwara" anajidai ana uchungu. Huku hataki kuchangia Chama.
NB: Nafasi ya Mwenyekiti si ajira Bali ni kujitolea. Ni Bora sasa Wajumbe wampumzishe
🙌🙌Na akifa Mbowe mwenyewe, chadema itakuwaje?
Ni ukweli kwa wasiofikiria.Huo ndio ukweli mchungu CDM.