Bila Mbowe mbona Chadema itajifia!

Bila Mbowe mbona Chadema itajifia!

M24 Headquarters-Kigali

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
8,199
Reaction score
8,186
1. Bila Mheshimiwa Dr Bilionea Freeman Mbowe (Kiongozi wa Kambi rasmi ya upinzani Bungeni Mstaafu (KB Mstaafu) basi hakuna CHADEMA.

2. Mheshimiwa kakipigania Chama toka Enzi, anatokea mwanaharakati "uchwara" anajidai ana uchungu. Huku hataki kuchangia Chama.

NB: Nafasi ya Mwenyekiti si ajira Bali ni kujitolea. Ni Bora sasa Wajumbe wampumzishe
 
Bila Mheshimiwa Freeman Mbowe basi hakuna CHADEMA. Mheshimiwa kakipigania Chama toka Enzi, anatokea mwanaharakati "uchwara" anajidai ana uchungu. Huku hataki kuchangia Chama.

Huo ndio ukweli mchungu CDM.
 
Bila Mheshimiwa Freeman Mbowe basi hakuna CHADEMA. Mheshimiwa kakipigania Chama toka Enzi, anatokea mwanaharakati "uchwara" anajidai ana uchungu. Huku hataki kuchangia Chama.

NB: Nafasi ya Mwenyekiti si ajira Bali ni kujitolea. Ni Bora sasa Wajumbe wampumzishe
Lisu ni mbeligiji hafai kuwa mwenyekiti wa chama
 
Ndiyo maana tumesema hao wahuni & wasema hovyo hatuwapi chama.
 
Bila Mheshimiwa Freeman Mbowe basi hakuna CHADEMA. Mheshimiwa kakipigania Chama toka Enzi, anatokea mwanaharakati "uchwara" anajidai ana uchungu. Huku hataki kuchangia Chama.

NB: Nafasi ya Mwenyekiti si ajira Bali ni kujitolea. Ni Bora sasa Wajumbe wampumzishe
Hayo mawazo wangekuwa nayo wana ccm miaka ya 70,80,90s basi nyerere angevaki mwenyekiti mapak siku anaondoka duniani

Watu watapita , wapo watskao cover hizo nafasi na kuongoza tena. Chama kinakufa pale ideology inapokufa
 
Sultan Mbowe Bin King'ang'anizi yeye ndo kaua chama ndo maana akiitisha maandamano anaenda kuandamana yeye na binti yake Nicole tu.

Watu hawana imani nae kwasababu ya unafik, ukifata maandamano yake kama anavyosema unaenda kufa alaf baadae yeye anaenda ikulu kulamba asali mnamuona kapiga picha kakenua meno na Mama Abdul na anasema ameridhiana nae huku watu wamepoteza uhai
 
Bila Mheshimiwa Freeman Mbowe basi hakuna CHADEMA. Mheshimiwa kakipigania Chama toka Enzi, anatokea mwanaharakati "uchwara" anajidai ana uchungu. Huku hataki kuchangia Chama.

NB: Nafasi ya Mwenyekiti si ajira Bali ni kujitolea. Ni Bora sasa Wajumbe wampumzishe
Kama existence ya CHADEMA inamtegemea Mbowe, then CHADEMA isn’t a viable political party in the first place!
 
Back
Top Bottom