Umemuona huyo di Maria [emoji12] [emoji12] [emoji14]Mleta uzi umeongea facts kabisa. Mimi nishasema kile kitoto cha mama hakifai kabisa. I'm so happy kutokuwepo mechi muhimu ya leo.
So nna matumaini makubwa sana na Fundi machachari ANGEL DI MARIA, ila sio yule mayai
Psg 2-0 Madrid
Uliona mbali sanaDaaah mbinu za ukweli kabisa hizi,lakini tatizo CR7 lazima avizie afunge angalau kimoja ndio shida itakapoanzia hapo.
haya mzee tuletee mrejesho hapaMechi ya kwanza tatizo lilikuwa na utoto wa Neymar Jr kupiga chenga zisizo na faida kwenye timu naa kuigharimu timu yake. Ila kwa leo kwa kuwa hayupo, nina imani asilimia 90, nafasi yake akipangwa winga machachari Angel Di Maria, halafu asaidiane na Mbappe na Edinson Cavani basi leo Bingwa Mtetezi Madrid anatolewa mapema tu.
Pale kwenye idara ya kiungo kuna umuhimu wa kuanza kwa mkongwe Thiago Motta kama kiungo mkabaji ili kutoa fursa kwa Kiungo mshambulizi Marco Verratti kusogea mbele akishirikiana na bwana mdogo Adrien Rabiot.
Pia Mwalimu Unai Emery ili anogeshe furaha ya Ushindi leo hana budi kumpa nafasi kiongozi na nahodha Thiago Silva asaidieane na Marquinhos, hakika Real Madrid atakufa mapema tu tena 3-0.
Tukutane Saa 4:45 Usiku kwa majira ya Afrika Mashariki na Kati!!
Helooo, habari za usiku? Una hali gani ndugu yetu? Unaendeleaje? Najua roho inakuuma sana, ha ha haaaa. Pole sana.😀😀😀😀😀😀Mechi ya kwanza tatizo lilikuwa na utoto wa Neymar Jr kupiga chenga zisizo na faida kwenye timu naa kuigharimu timu yake. Ila kwa leo kwa kuwa hayupo, nina imani asilimia 90, nafasi yake akipangwa winga machachari Angel Di Maria, halafu asaidiane na Mbappe na Edinson Cavani basi leo Bingwa Mtetezi Madrid anatolewa mapema tu.
Pale kwenye idara ya kiungo kuna umuhimu wa kuanza kwa mkongwe Thiago Motta kama kiungo mkabaji ili kutoa fursa kwa Kiungo mshambulizi Marco Verratti kusogea mbele akishirikiana na bwana mdogo Adrien Rabiot.
Pia Mwalimu Unai Emery ili anogeshe furaha ya Ushindi leo hana budi kumpa nafasi kiongozi na nahodha Thiago Silva asaidieane na Marquinhos, hakika Real Madrid atakufa mapema tu tena 3-0.
Tukutane Saa 4:45 Usiku kwa majira ya Afrika Mashariki na Kati!!
Pole sana. Ronaldo sio mtu mzuri kabisa.Psg asiposhinda leo,na badili muelekeo wa maisha na id yangu itakuwa kama bosheni humu
[emoji87] [emoji87]Madrid out
Hili sio siri bhanaa yani Bonge la bishooo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Suti na raba?
[emoji87] [emoji87] [emoji87]Madrid leo anachezea kichapo cha bao 4-0.
Umemuona huyo di Maria [emoji12] [emoji12] [emoji14]
Ushabiki mwingine bhana