Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Bora na mara Mia angezeeka kuliko kuuzwa ndo maana wanapata tabu Sana na mapato yanashuka kwa Kasi Kama water fall ok,ko be careful with your heartHuo ni upepo tu utapita hao mashabiki walitegemea huyo ronaldo acheze mpaka anamiaka 60?? Si walijua kuna mda atasepa tu iwe kwa kuuzwa au kuzeeka. Hao wamenuna tu kama watoto wa kike lakini soon mnuno utaisha watakumbuka kumbe they love footbal more than players...na watarudi tu....
Sent using Jamii Forums mobile app
Fact
Povu la nn ukweli huo hapo details zote ww mwenyewe unazo kwamba wahudhuliaji wamepungua nn tenaCrazy Kabisa. Mafanikio ya RMA yamekuwepo kwa miongo mingi sana kabla ya Ronaldo.RMA ni timu kubwa sana huwezi kuilinganisha na mtu mmoja. Anway kwa nyie mlionza kushabikia mpira mwaka juzi lazima muwe na mawazo haya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Numbisa pitia 👉 https://www.quora.com/What-was-the-best-lineup-ever-for-Real-MadridYeah CR7 ana umuhimu wake,hao wanaosema hata kabla ya CR7 madrid ilikua bora wakumbuke kuwa baada ya CR7 kuingia madrid ikawa bora zaidi
madrid ni klabu kubwa na yenye mafanikio na tajiri kabla ya ronaldo kusajiliwa pale, so kusema ronaldo kaipa jina madrid ni kulidhalilisha soka na wafuasi wake, kwa uungwana tu naomba utuombe radhi watu wa mpiraUmuhmu wa mtu huonekana pale anapotoweka au kuondoka sehem, Cyo siri Ronaldo ndio alikuwa anaipa jina Madrid.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijifanye kichwa kigumu kuelewa somo,RMA bila Cr7 is nothing,ok ko be careful with your heart my brother.madrid ni klabu kubwa na yenye mafanikio na tajiri kabla ya ronaldo kusajiliwa pale, so kusema ronaldo kaipa jina madrid ni kulidhalilisha soka na wafuasi wake, kwa uungwana tu naomba utuombe radhi watu wa mpira
Nenda mirembe kwa kuandika utumbo wa uchizi,no RMA without Cr7,but there is Cr7c without RMA,ok my brother be careful with your heart.Mashabiki wa juzi wa mipira utawajua tu.
Ni akili za ubovu wa hali ya juu kfikiria kua Real MAdrid itapoteza Umaarufu na uwezo kwa sababu ya kuondoka kwa Ronaldo.
Real ndio iliomsaidia Ronaldo na si Ronaldo alieisaidia Real.
Mkuu mashabiki maandazi utawajua tu,alikuwepo Ronaldo original,Figo, Zidane,Raul wakaondoka Madrid ikabaki,leo huyo Mwanamitindo ndiyo aipunguzie umaarufu?madrid ni klabu kubwa na yenye mafanikio na tajiri kabla ya ronaldo kusajiliwa pale, so kusema ronaldo kaipa jina madrid ni kulidhalilisha soka na wafuasi wake, kwa uungwana tu naomba utuombe radhi watu wa mpira
Baada ya kuondoka hao uliyowataja:Mkuu mashabiki maandazi utawajua tu,alikuwepo Ronaldo original,Figo, Zidane,Raul wakaondoka Madrid ikabaki,leo huyo Mwanamitindo ndiyo aipunguzie umaarufu?
Sent using Jamii Forums mobile app