Bila Ronaldo, hakuna mashabiki Real Madrid

Je, hili jambo linaweza kupelekea kushuka morali kwa wachezaji na kusababisha timu kufanya vibaya?

  • Ndiyo

  • Hapana


Results are only viewable after voting.
Tunataka na Baron d'ior,Kama wamechukua au laaaaaaah,ambao wanamzidi Cr7 mnyama kwa kulinganisha na miaka ya kuichezea hiyo kilabu,Now mchezaji wa mda wote Ni Cr7 povu ruksa.
 
Sasa kweli ramos,kwa mafanikio anamzidi RONALDO are you serious?
 
Hayupo
 
NO REAL MADRID WITHOUT KING RONALDO (CR7) MNYAMA OF ALL THE TIME,povu ruksa na TIMU IMEKUWA NDOGO KWA MCHEZAJI KWA MARA YA KWANZA AMBAYE NI CR7 KING.
 
Sasa kweli ramos,kwa mafanikio anamzidi RONALDO are you serious?
Kaka kumbuka Suala lilikuwa R.Madrid kupotea sababu ya kumpoteza Cr7 na Mdau mmoja aliuliza kuhusu mchezaji aliyepata Mafanikio akiwa na Uzi wa Madrid zaidi ya Cr7 ndio nikampatia Sergio Ramos maana yeye amegusa makombe yoote hata ambayo Cr7 hajawahi ligusa(Kombe la Dunia).
Nnabaki na Msimamo wangu kwamba Cr7 ni moja katika Wachezaji bora katika kizazi cheku hiki lakini hawezi kuwa mkubwa kuliko Timu tena Timu kubwa kama Real Madrid.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NO REAL MADRID WITHOUT KING RONALDO (CR7) MNYAMA OF ALL THE TIME,povu ruksa na TIMU IMEKUWA NDOGO KWA MCHEZAJI KWA MARA YA KWANZA AMBAYE NI CR7 KING.
Kaka Suala la udogo wa Madrid linatoka wapi? kumbuka R.Madrid ni Klabu bora ya Karne 20 ambapo imepata Mafanikio hayo hata Cr7 hajawa mchezaji wa Man U,
Licha ya Ubora na Bidii alizonazo uwanjani na nje ya uwanja lakini huwezi kuwa na hukumu ya Moja kwa moja juu ya Timu iliyoshebeni vipawa na Ukwasi wa Kifedha/ uwekezaji kama Madrid kwa kuondoka mchezaji mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukubwa,uzuri na utajiri walionao s sababu yakufanya kubak wanapendwa na idad ileile kiongoz! Kumbuka mashabk wengne walikua wa man u. Hata ligi yenyewe nw haina thaman tena s unajua wadunia wote walikua pale? Je barca akikutana na Hyo RMD utamsimamisha Messi na Benzema au Bale?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…