Wakat utafika tu mkuu na mtamis ktk mech Ngumu na MuhmuUshindi Real Madrid kama kawaida, mwengine kala mi4 jana. Lakini Ronaldo bila Real bado anatafuta Goli
Ukubwa,uzuri na utajiri walionao s sababu yakufanya kubak wanapendwa na idad ileile kiongoz! Kumbuka mashabk wengne walikua wa man u. Hata ligi yenyewe nw haina thaman tena s unajua wadunia wote walikua pale? Je barca akikutana na Hyo RMD utamsimamisha Messi na Benzema au Bale?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyakati zinabadilika kizaz kipya walivutiwa na ronaldo . kwa kias imeathiri timu japo najua watarudi tenaCrazy Kabisa. Mafanikio ya RMA yamekuwepo kwa miongo mingi sana kabla ya Ronaldo.RMA ni timu kubwa sana huwezi kuilinganisha na mtu mmoja. Anway kwa nyie mlionza kushabikia mpira mwaka juzi lazima muwe na mawazo haya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Ni mwehu Kalale unamlinganisha Cr7 na kiparaAliondoka zidane pale;atakuwa huyu asiye hata na Golden boot;Hala madrid
Your not normalNone sense labla mashabiki wa Man u walio jichomeka real ndio wako ivo ila Mashabiki ndaki ndaki kama mimi wa real Siku zote Team Kwanzaa zen mchezaji...nampenda Ronaldo lakin siwezi hama real kisa Ronaldo
Sent using Jamii Forums mobile app
Walifikaje Hapo bila KING RONALDO,ndo point wewe chiziUnapozungumzia mechi ngumu na muhimu sijafahamu unamaanisha vipi, Champion league Final na Nusu fainal mechi zote mbili jamaa alipotea uwanjani dakika zote 90, Benzama na Bale wakafaya kazi.
Walifikaje Hapo bila KING RONALDO,ndo point wewe chizi
Unapumulia mashine,hao weupe tu ata top 4 La LIGA wataikosa #TIME WILL TELL.Huyo King wako Apambane na hali yake tu saivi. Watoto wa Madrid wanaendeleza Dozi. Nayeye anaendelea kusuburia Penalt itakapotokea.
Pumba za kiwango cha PhD, Madrid wangekuwa bado wanamuhitaji Ronaldo wasingemuuza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo mtupu, aondoke asiondoke mashabiki wapo kwa ajili ya timu...angelikuwa anacheza possession ya Messi na akaitendea haki hapo sawa...Ni mashabiki 48,466 tu waliojitokeza katika dimba la Santiago Bernabeu kushuhudia mechi ya kwanza ya msimu wa La liga kwa upande Madrid.
Mara ya mwisho kupata mahudhurio hafifu ilikuwa ni miaka kumi iliyopita msimu wa 2008-09.
Katika mechi hiyo dhidi ya Getafe, Madrid waliibuka na ushindi wa goli 2-0. Wafumania nyavu walikuwa ni D.Carvajal na G.Bale.View attachment 841839
Messi bado mdogo kwa Cr7 viatu vyake bado vidogo okUongo mtupu, aondoke asiondoke mashabiki wapo kwa ajili ya timu...angelikuwa anacheza possession ya Messi na akaitendea haki hapo sawa...
Kukurupuka kubaya sana.Uongo mtupu, aondoke asiondoke mashabiki wapo kwa ajili ya timu...angelikuwa anacheza possession ya Messi na akaitendea haki hapo sawa...