Bila Ronaldo, hakuna mashabiki Real Madrid

Bila Ronaldo, hakuna mashabiki Real Madrid

Je, hili jambo linaweza kupelekea kushuka morali kwa wachezaji na kusababisha timu kufanya vibaya?

  • Ndiyo

  • Hapana


Results are only viewable after voting.
Ukubwa,uzuri na utajiri walionao s sababu yakufanya kubak wanapendwa na idad ileile kiongoz! Kumbuka mashabk wengne walikua wa man u. Hata ligi yenyewe nw haina thaman tena s unajua wadunia wote walikua pale? Je barca akikutana na Hyo RMD utamsimamisha Messi na Benzema au Bale?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani Ronaldo lini aliwahi simama na Messi?
 
Crazy Kabisa. Mafanikio ya RMA yamekuwepo kwa miongo mingi sana kabla ya Ronaldo.RMA ni timu kubwa sana huwezi kuilinganisha na mtu mmoja. Anway kwa nyie mlionza kushabikia mpira mwaka juzi lazima muwe na mawazo haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyakati zinabadilika kizaz kipya walivutiwa na ronaldo . kwa kias imeathiri timu japo najua watarudi tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu ita struggle kwa kipindi Fulani,lkn itatulia,maana baada ya kuondoka cr7 imekuwa changamoto GBL kuingia kwenye mfumo,kweli tutamkumbuka cr7, na timu itafanya vzr tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mashabiki 48,466 tu waliojitokeza katika dimba la Santiago Bernabeu kushuhudia mechi ya kwanza ya msimu wa La liga kwa upande Madrid.

Mara ya mwisho kupata mahudhurio hafifu ilikuwa ni miaka kumi iliyopita msimu wa 2008-09.

Katika mechi hiyo dhidi ya Getafe, Madrid waliibuka na ushindi wa goli 2-0. Wafumania nyavu walikuwa ni D.Carvajal na G.Bale.View attachment 841839
Uongo mtupu, aondoke asiondoke mashabiki wapo kwa ajili ya timu...angelikuwa anacheza possession ya Messi na akaitendea haki hapo sawa...
 
Dont judge and you will not be judged.

Leave it or take it.
 
Kuna hamasa tu flani inapungua lkn real ni kubwa kuliko unavyofikiria... Ronaldo ana fans wanaomfata anapokwenda... ila real ipo na inajua jinsi ya kucover morali hii ni kusajili watu wapya wenye fans wao pia kama hazard, neymar n.k
Ile ni timu ya mastaa toka zamani hilo liko wazi wataziba nafasi
 
Back
Top Bottom