Bila Samatta, TP Mazembe yanyukwa ugenini 2-0

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
338
Reaction score
180
mazembe_1.jpg

WAKATI Sports Club Villa ikibugia mabao 7-0 ugenini kwa FUS Rabat katika Kombe la Shirikisho, mabingwa wa klabu za Afrika TP Mazembe wamejikuta wakilala kwa mabao 2-0 mbele ya Wydad Casablanca ya Morocco.

TP Mazembe imepata kipigo hicho ikiwa haina mchezaji wake mahiri Mbwana Ally Samatta wa Tanzania ambaye anachezea klabu ya Racing Genk ya Ubelgiji, ambaye...

Kwa habari zaidi, soma hapa => Bila Samatta TP Mazembe yanyukwa ugenini 2-0 | Fikra Pevu
 
View attachment 336311

Kwahiyo untaka kutuambia angekuwepo huyo samatta wako mbere ya waidadi wangeshinda? Ebu acheni ushabiki vitumbua, mnakuwa ka vile hamrijui soka bwanaa
 
Back
Top Bottom