Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
WAKATI Sports Club Villa ikibugia mabao 7-0 ugenini kwa FUS Rabat katika Kombe la Shirikisho, mabingwa wa klabu za Afrika TP Mazembe wamejikuta wakilala kwa mabao 2-0 mbele ya Wydad Casablanca ya Morocco.
TP Mazembe imepata kipigo hicho ikiwa haina mchezaji wake mahiri Mbwana Ally Samatta wa Tanzania ambaye anachezea klabu ya Racing Genk ya Ubelgiji, ambaye...
Kwa habari zaidi, soma hapa => Bila Samatta TP Mazembe yanyukwa ugenini 2-0 | Fikra Pevu