Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
Ni wa kukaonea huruma katoto haka.Halafu hakajaoa mpaka leo.Nadhani ana matatizo mengi.Tumuombee tu.Naomba nimnukuu kwenye maneno yake ya leo tarehe 03 August 2025
"...........WanaCCM wenzangu naomba tumuweke Mungu mbele, 2010 ni akina nani walitembeza fomu za mgombea Urais kama haikua familia ya Mgombea? Au hiki ni kitu nakosea kusema? Nazungumza kama mwanataaluma leo......
Natumia uhuru wangu wa kuzungumza....tuna mjadala hapa kabla hatujaingia kwenye uchaguzi mkuu unaokuja na kama watu watashupaza shingo kwasababu tu wanataka lao jambo, basi tujue hawa wameamua na sisi tuamue vinginevyo.....
My take. Kama wameamua akimaanisha wanamtandao kwa maneno yake.
Je hii na sisi tuamue vinginevyo anawazungumzia akina nani?
It's him against the state au?
Mna uwendazimu ..Samia yupo sanaWenye Nchi , Huu mwaka Samia na genge lake, Hawatoboi Kwa namna yoyote Ile, waruke, wakae, wafanye wanavyoweza, Hawatoboi.
Imeamuliwa hivo.
Zingatia haya Maneno hapa chini
Ni Maneno ya Mzalendo Mkweli, mwenye Uthubutu, The Intelligent Mh Polepole , namnukuu 'Samia nakuomba, rekebisha hili jambo before it's too late, Mimi sipendi tufike pahala ambapo itatupeleka kwenye level ambazo zitakiumiza Chama Cha mapinduzi , wakati nafasi ya kutengeneza Iko"
Wewe ndo puyangaMna uwendazimu ..Samia yupo sana
naam mkuu --- mimi ccm siikubali kabisa, lakini sioni namna SSH wanavyoweza muondoa. bado sijawa conviced kabisaMna uwendazimu ..Samia yupo sana
Upo vizuri kaka.Kimsingi kwa maoni yangu naona anayelengwa hapa ni kikwete! Kwa namna nyingine naona polepole ana watu nyuma yake yawezekana ni system kubwa kabisa ndani ya serikali inayojua kinachoendelea nimeamua kumtumia polepole na hapa nahisi! Kuna uwezekano mama kalazimishwa kugombea kwa maslahi ya kundi fulani! Na anaogopa kusema kuwa hagombei tena kwa sababu ya genge liĺilomzunsguka ( ndo maana polepole anajiamini) siyo bure!
Tena atakuwepo sana mpaka atakapokabidhi kijiti kwa mwingine 20230.Hapo sasa utasikia 'NO reform no Handover'.Mna uwendazimu ..Samia yupo sana
Si aumemuona Rostam Aziz akivimbaa Leo kupitia ITV habari.Kimsingi kwa maoni yangu naona anayelengwa hapa ni kikwete! Kwa namna nyingine naona polepole ana watu nyuma yake yawezekana ni system kubwa kabisa ndani ya serikali inayojua kinachoendelea nimeamua kumtumia polepole na hapa nahisi! Kuna uwezekano mama kalazimishwa kugombea kwa maslahi ya kundi fulani! Na anaogopa kusema kuwa hagombei tena kwa sababu ya genge liĺilomzunsguka ( ndo maana polepole anajiamini) siyo bure!
Mbona mnashindwa kumkamata na yupo Tanzania??.Ni wa kukaonea huruma katoto haka.Halafu hakajaoa mpaka leo.Nadhani ana matatizo mengi.Tumuombee tu.
Kataja kamsikilizeUpo vizuri kaka.
Katika mazungmuzo yake hamtaji kabisa Jk( wahuni) kwa rais inaonekana hana shida naye.
Inaweza kuwa slowly anatumika kufikisha ujumbe mahala
Sasa cdm wameingiaje hapo kwani kuna watu wana haki ya kujadili kimoja tu na si kingineChadema huwa wanadanganyika na vitu vidogovidogo sana
Mnamjadili vipi mtu kama huyo polepole aliye tumika kuvuruga chadema kipindi cha jpm?Sasa cdm wameingiaje hapo kwani kuna watu wana haki ya kujadili kimoja tu na si kingine
Wewe Kikwete acha dharauNi wa kukaonea huruma katoto haka.Halafu hakajaoa mpaka leo.Nadhani ana matatizo mengi.Tumuombee tu.