GE2025 Bila shaka Balozi Polepole anatafuta shari na huenda amejiandaa kwa shari

GE2025 Bila shaka Balozi Polepole anatafuta shari na huenda amejiandaa kwa shari

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kimsingi kwa maoni yangu naona anayelengwa hapa ni kikwete! Kwa namna nyingine naona polepole ana watu nyuma yake yawezekana ni system kubwa kabisa ndpiani ya serikali inayojua kinachoendelea nimeamua kumtumia polepole na hapa nahisi! Kuna uwezekano mama kalazimishwa kugombea kwa maslahi ya kundi fulani! Na anaogopa kusema kuwa hagombei tena kwa sababu ya genge liĺilomzunsguka ( ndo maana polepole anajiamini) siyo bure!
System gani system ya Umeme hujui kwamba polepole ni kijana wa Jk ndo alimtoa Ethiopia uko
 
Polepole hamumuelewi tu

alishagamsema ukiona hali inasumbuasumbua ases kwanza upate majawabu kisha useme, yeye ameshaona anaweza
 
Naomba nimnukuu kwenye maneno yake ya leo tarehe 03 August 2025

"...........WanaCCM wenzangu naomba tumuweke Mungu mbele, 2010 ni akina nani walitembeza fomu za mgombea Urais kama haikua familia ya Mgombea? Au hiki ni kitu nakosea kusema? Nazungumza kama mwanataaluma leo......

Natumia uhuru wangu wa kuzungumza....tuna mjadala hapa kabla hatujaingia kwenye uchaguzi mkuu unaokuja na kama watu watashupaza shingo kwasababu tu wanataka lao jambo, basi tujue hawa wameamua na sisi tuamue vinginevyo.....

My take. Kama wameamua akimaanisha wanamtandao kwa maneno yake.

Je hii na sisi tuamue vinginevyo anawazungumzia akina nani?

It's him against the state au?
Hata chura huwa anawapigia makelele ng'ombe wasinywe maji lakini wapi? Ng'ombe wanakunywa maji wanaendelea na mambo yao. Chura anapiga makelele usiku kucha.
 
Huyu polepole ana mpango mtu apate kiharusi?

Ukiwa na adui alafu ukawa unalala hujui kesho adui yako ataamka na lipi,unakuwa na stress Kali vibaya mno. Sasa stress Zikizidi linageuka kuwa tatizo la afya.

Polepole kama hajamaliza afanye amalize tu yote yamtoke kisha tufanye mambo mengine..!
Mwaka huu huyo mama atakuwa anabadirisha chupi mara tatu kwa siku. Akisikia slow slow yuko hewani lazima ushuzi umtoke bila shuruti.
 
Mnamjadili vipi mtu kama huyo polepole aliye tumika kuvuruga chadema kipindi cha jpm?

Chadema wakiitwa nyumbu wanakasurika
Chadema ni watz ni wapi official page yao imesemea ya pole pole ..hao wanacham ni watz wans haki ya kujadili chochote nchini na sie kile anayekujibu ni chadema tumia akili
 
Naomba nimnukuu kwenye maneno yake ya leo tarehe 03 August 2025

"...........WanaCCM wenzangu naomba tumuweke Mungu mbele, 2010 ni akina nani walitembeza fomu za mgombea Urais kama haikua familia ya Mgombea? Au hiki ni kitu nakosea kusema? Nazungumza kama mwanataaluma leo......

Natumia uhuru wangu wa kuzungumza....tuna mjadala hapa kabla hatujaingia kwenye uchaguzi mkuu unaokuja na kama watu watashupaza shingo kwasababu tu wanataka lao jambo, basi tujue hawa wameamua na sisi tuamue vinginevyo.....

My take. Kama wameamua akimaanisha wanamtandao kwa maneno yake.

Je hii na sisi tuamue vinginevyo anawazungumzia akina nani?

It's him against the state au?
takataka
 
Wenye Nchi , Huu mwaka Samia na genge lake, Hawatoboi Kwa namna yoyote Ile, waruke, wakae, wafanye wanavyoweza, Hawatoboi.

Imeamuliwa hivo.

Zingatia haya Maneno hapa chini

Ni Maneno ya Mzalendo Mkweli, mwenye Uthubutu, The Intelligent Mh Polepole , namnukuu 'Samia nakuomba, rekebisha hili jambo before it's too late, Mimi sipendi tufike pahala ambapo itatupeleka kwenye level ambazo zitakiumiza Chama Cha mapinduzi , wakati nafasi ya kutengeneza Iko"
Mpuuzi tu huyo Pole Pole, anawakilisha agenda ambazo zinatokana na ubinafsi wa walio nyuma yake.

Walijisahau wakati JPM akiwa hai wakadhani wote tutaishi milele, wakaota mapembe yeye na wananzengo wenzake.

Samia kaingia ikulu na kaweza kwenda kinyume na matarajio yao kwamba mwanamke atafeli tu, inawauma namna anavyotimiza ahadi zote walizoahidi JPM kwenye ilani ya 2020 moja baada ya nyingine.
 
Back
Top Bottom