Bila Shaka Mkutano wa Leo wa CCM umedhihirisha uungwaji mkono wa Rais Samia kutoka Viunga vyote vya nchi

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Hata mimi nimejifunza kitu hapa.

Yaani iwapo kuna mtu ana mashaka na uungwaji mkono wa Rais Samia ndani ya chama chake basi leo imedhihirika tena mbele ya Dunia kwamba Wajumbe wa Mkutano mkuu wa CCM Taifa wanayo imani kwa mwenyekiti wao.

Kwamba hakuna wajumbe wenye sauti ya popo waliojificha pembezoni.

Hakika Kwa mara nyingine tena naamini Mwenyekiti wa CCM Rais Samia anaipata ile nguvu ya umma ndani ya chama Dola na hatimaye mwezi oktoba 29 anaenda kuipata nguvu ya umma wa watanzania wote.

#SamiaWaDigital
 
Hakubaliki ndani na nje ya chama.
 
Unafiki wa watz unaujua lakini? They always have a fake smile
 
Hata mimi nimejifunza kitu hapa.

Yaani iwapo kuna mtu ana mashaka na uungwaji mkono wa Rais Samia ndani ya chama chake basi leo imedhihirika tena mbele ya Dunia kwamba Wajumbe wa Mkutano mkuu wa CCM Taifa wanayo imani kwa mwenyekiti wao.

Kwamba hakuna wajumbe wenye sauti ya popo waliojificha pembezoni.

Hakika Kwa mara nyingine tena naamini Mwenyekiti wa CCM Rais Samia anaipata ile nguvu ya umma ndani ya chama Dola na hatimaye mwezi oktoba 29 anaenda kuipata nguvu ya umma wa watanzania wote.

#SamiaWaDigital
Haya ndio matamanio ya kila chawa wa Samia.
 
Kweli uongo kwangu mwiko
 
Hata mimi nimejifunza kitu hapa.

Yaani iwapo kuna mtu ana mashaka na uungwaji mkono wa Rais Samia ndani ya chama chake basi leo imedhihirika tena mbele ya Dunia kwamba Wajumbe wa Mkutano mkuu wa CCM Taifa wanayo imani kwa mwenyekiti wao.

Kwamba hakuna wajumbe wenye sauti ya popo waliojificha pembezoni.

Hakika Kwa mara nyingine tena naamini Mwenyekiti wa CCM Rais Samia anaipata ile nguvu ya umma ndani ya chama Dola na hatimaye mwezi oktoba 29 anaenda kuipata nguvu ya umma wa watanzania wote.

#SamiaWaDigital
Sasa kwa nn dirisha lisifunguliwe watu wachukue fomu za kugombea urais ndani ya chama?
 
1753542537708.jpeg
 
Eti Samia wa digital!

Ndio huyu huyu ambaye kazuia watu kuingia na simu vituo vya kupigia kura , anaogopa nini hasa ?

Samia huyu wa digital ndio kafungia mtandao wa X watanzania hawaingii hadi watumie VPN hata yeye anaingia kwa VPN.

Samia wa digital ndio akiona live stream asizozipenda anapiga simu TCRA wafungie mitandao[siku ya press ya Polepole YouTube na Facebook zilifungiwa]

Mjinga wao katika ubora wake.
 
Nani kakudanganya. Samia anakibalika mno na vijana asikwambie mtu. Ameleta mageuzi makubwa ya kibiashara zilizofungwa na jpm na kuanza kuwaibia pesa zao kinguvu thru their accounts
Chawa kama chawa. Rais kama amiri jeshi mkuu ni lini aliwahi kukemea utekaji na mauaji yanayoendelea nchini?
 
Wapinzani wa Samia wamejaa mitandaoni tu na hawafiki hata 100.
 
Back
Top Bottom