Hakubaliki ndani na nje ya chama.Hata mimi nimejifunza kitu hapa.
Yaani iwapo kuna mtu ana mashaka na uungwaji mkono wa Rais Samia ndani ya chama chake basi leo imedhihirika tena mbele ya Dunia kwamba Wajumbe wa Mkutano mkuu wa CCM Taifa wanayo imani kwa mwenyekiti wao.
Kwamba hakuna wajumbe wenye sauti ya popo waliojificha pembezoni.
Hakika Kwa mara nyingine tena naamini Mwenyekiti wa CCM Rais Samia anaipata ile nguvu ya umma ndani ya chama Dola na hatimaye mwezi oktoba 29 anaenda kuipata nguvu ya umma wa watanzania wote.
#SamiaWaDigital
Unafiki wa watz unaujua lakini? They always have a fake smileHata mimi nimejifunza kitu hapa.
Yaani iwapo kuna mtu ana mashaka na uungwaji mkono wa Rais Samia ndani ya chama chake basi leo imedhihirika tena mbele ya Dunia kwamba Wajumbe wa Mkutano mkuu wa CCM Taifa wanayo imani kwa mwenyekiti wao.
Kwamba hakuna wajumbe wenye sauti ya popo waliojificha pembezoni.
Hakika Kwa mara nyingine tena naamini Mwenyekiti wa CCM Rais Samia anaipata ile nguvu ya umma ndani ya chama Dola na hatimaye mwezi oktoba 29 anaenda kuipata nguvu ya umma wa watanzania wote.
#SamiaWaDigital
Haya ndio matamanio ya kila chawa wa Samia.Hata mimi nimejifunza kitu hapa.
Yaani iwapo kuna mtu ana mashaka na uungwaji mkono wa Rais Samia ndani ya chama chake basi leo imedhihirika tena mbele ya Dunia kwamba Wajumbe wa Mkutano mkuu wa CCM Taifa wanayo imani kwa mwenyekiti wao.
Kwamba hakuna wajumbe wenye sauti ya popo waliojificha pembezoni.
Hakika Kwa mara nyingine tena naamini Mwenyekiti wa CCM Rais Samia anaipata ile nguvu ya umma ndani ya chama Dola na hatimaye mwezi oktoba 29 anaenda kuipata nguvu ya umma wa watanzania wote.
#SamiaWaDigital
Sasa kwa nn dirisha lisifunguliwe watu wachukue fomu za kugombea urais ndani ya chama?Hata mimi nimejifunza kitu hapa.
Yaani iwapo kuna mtu ana mashaka na uungwaji mkono wa Rais Samia ndani ya chama chake basi leo imedhihirika tena mbele ya Dunia kwamba Wajumbe wa Mkutano mkuu wa CCM Taifa wanayo imani kwa mwenyekiti wao.
Kwamba hakuna wajumbe wenye sauti ya popo waliojificha pembezoni.
Hakika Kwa mara nyingine tena naamini Mwenyekiti wa CCM Rais Samia anaipata ile nguvu ya umma ndani ya chama Dola na hatimaye mwezi oktoba 29 anaenda kuipata nguvu ya umma wa watanzania wote.
#SamiaWaDigital
Nani kakudanganya. Samia anakibalika mno na vijana asikwambie mtu. Ameleta mageuzi makubwa ya kibiashara zilizofungwa na jpm na kuanza kuwaibia pesa zao kinguvu thru their accountsHakubaliki ndani na nje ya chama.
Chawa kama chawa. Rais kama amiri jeshi mkuu ni lini aliwahi kukemea utekaji na mauaji yanayoendelea nchini?Nani kakudanganya. Samia anakibalika mno na vijana asikwambie mtu. Ameleta mageuzi makubwa ya kibiashara zilizofungwa na jpm na kuanza kuwaibia pesa zao kinguvu thru their accounts
Kuongezeka kwa chawa ni dalili ya uchafu kuongezeka.Na wataongezeka zaidi