Kwa ujumla tumeona wanaoimiliki sisiemu na kwa nini abdueli alitumwa akamnunue Simba, walipoona hanunuliki wakahamia kwa team mwamba waliopokea wakapokea na yakatokea yaliyofuata hadi chama kilichokua kinamiliki sufuria za ubwabwa tu leo kina maviete ghafla
Wamemshindwa kumbeba na kummliki simba na sasa wanataka anyongwe aondoe "nuissance" kwa mabilionea walaji wa mama na deals zao! Kwa aliyejua sethi singa ni mhujumu mmepata ujumbe sasa, mlijidanganya sana. RIP jiwe nimeelewa sasa alivyosema vita ni kali mno mbaba wa watu, tukampuuza japo alikuwa dikteta uchwara
Anyway washereheshaji wa jf kina tilalila na mwashamba na wengine karibuni sana mje kupumua kwa nyuma mkishiba kande kule kwa bibi zenu wanaovuna mchicha, wakati wenye chama chao wanavuna mabi/trilioni!
Kuna kesi ingine imefunguliwa International Court of Arbitration ulaji unatengenezwa kama kawaida ulaji kwa mlango wa nyuma! Wakishapiga wataongeza fungu la ushindani wa mama na mwalimu, wakilindwa na wambura na mikwara yake na manguvu na vitisho!
Maskini mama tanzania😡
Porojo za kimaskini tuKwa ujumla tumeona wanaoimiliki sisiemu na kwa nini abdueli alitumwa akamnunue Simba, walipoona hanunuliki wakahamia kwa team mwamba waliopokea wakapokea na yakatokea yaliyofuata hadi chama kilichokua kinamiliki sufuria za ubwabwa tu leo kina maviete ghafla
Wamemshindwa kumbeba na kummliki simba na sasa wanataka anyongwe aondoe "nuissance" kwa mabilionea walaji wa mama na deals zao! Kwa aliyejua sethi singa ni mhujumu mmepata ujumbe sasa, mlijidanganya sana. RIP jiwe nimeelewa sasa alivyosema vita ni kali mno mbaba wa watu, tukampuuza japo alikuwa dikteta uchwara
Anyway washereheshaji wa jf kina tilalila na mwashamba na wengine karibuni sana mje kupumua kwa nyuma mkishiba kande kule kwa bibi zenu wanaovuna mchicha, wakati wenye chama chao wanavuna mabi/trilioni!
Kuna kesi ingine imefunguliwa International Court of Arbitration ulaji unatengenezwa kama kawaida ulaji kwa mlango wa nyuma! Wakishapiga wataongeza fungu la ushindani wa mama na mwalimu, wakilindwa na wambura na mikwara yake na manguvu na vitisho!
Maskini mama tanzania😡
We ndio una akili za kitoto, pesa zake we unasema hai-make sense? Yaani umekuwa maskini mpk wa akili?Yaani hai-Make sense MTU atoe 10B kuichangia Sisiemu .
Ni mchezo wa kitoto huu wakumuita Abdallah Dullah.
Thubutu ukipewa laki moja unaingiza mkia matakoniIli tuende sawa wanajamii inatakiwa tusidili ya mboga mboga tudeal na hawa matajiri hawa matajiri wakiwa upande wetu tunaanua ngoma mapema sana na ili wawe upande wetu ni kuwanyima raha cause hawa matajiri hawamiliki majeshi zaidi ya walinzi so endapo matajiri watakosa raha na mali zao kupitia siye wanainchi hii nchi tutaibadili
Leo hii matajiri wanatetemekea mbogamboga kwa sababu inawanyima raha endapo wakizingua so ni muda wa sisi wanajamii kuwanyima raha ili wawe upande wetu
Kwani hujui njaa ya watanzaniaPolisi wakiona michango kama hii lazima watuvunje viuno mbwa hawa, halafu wanaishia kupewa laki moja moja
Ipo minong'ono kwamba hawa ni wale wa ile EACLC aloifungua sa100 majuzi.
Ili tuende sawa wanajamii inatakiwa tusidili ya mboga mboga tudeal na hawa matajiri hawa matajiri wakiwa upande wetu tunaanua ngoma mapema sana na ili wawe upande wetu ni kuwanyima raha cause hawa matajiri hawamiliki majeshi zaidi ya walinzi so endapo matajiri watakosa raha na mali zao kupitia siye wanainchi hii nchi tutaibadili
Leo hii matajiri wanatetemekea mbogamboga kwa sababu inawanyima raha endapo wakizingua so ni muda wa sisi wanajamii kuwanyima raha ili wawe upande wetu
Hakuna muislamu mwenye akili timamu mfano mzuri ni weweWe ndio una akili za kitoto, pesa zake we unasema haiwezekani? Yaani maskini mpk wa akili?
Ipo minong'ono kwamba hawa ni wale wa ile EACLC aloifungua sa100 majuzi.