Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Hao wote uliowataja ni ndugu zetu katika imaan!! Unapata wapi ujasiri wa kuwafikiria vibaya kwa kuwahusisha na Mayahudi?Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.
Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.
Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.