Hao wote uliowataja ni ndugu zetu katika imaan!! Unapata wapi ujasiri wa kuwafikiria vibaya kwa kuwahusisha na Mayahudi?Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.
Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.
Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Nimekuuliza maswali Faiza hujanijibu!! Maneno yangu pamoja na kuyaita "porojo" nimekupa reference wapi yanapopatikana!! Elimu sio jambo la kuoteshwa , lazima ukae na watu waliokutangulia kusoma wakusomeshe vile na wao walivyoseomeshwa na walimu wao waliosoma kabla yao.Hizo zote ni porojo zako na uanowategemea kwa tafsiri. Neno lipo veryclea kwenye Qur'an Al AaRabu.
Saudi sarabia tayari ni ya kwao, kwanini anatakiwa apigwe? Unalijuwa hilo?
Mudi ni nabiiiUsitulishe matango pori!
Kwa mujibu wa Quran Israili siyo nchi wala siyo taifa bali ni jina la pili la mtume Ya'aqub ambaye ndiye baba wa makabila 12 yatokanayo na Nabii Ya'aqub ( Yakobo au Jacob)
Kuna mitume walikuwa na majina mawilimawili.
Kama Nabii Yunus ( Yona) jina lake la pili ni Dhin nuun, Nabii Yaaqubu
( Yakobo/Jacob) jina lake la pili ni Israili , Nabii Isa ( Yesu/Jesus) jina lake la pili ni Masihi, Nabii Muhammad jina lake la pili lililotajwa kwenye Quran ni Ahmad.