BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Mtayarishaji wa muziki namba 1 kwa sasa Nchini Tanzania, S2Kizzy ametangaza kupandisha bei ya kurecord wimbo mmoja kwake ambapo bei hiyo itaanza kutumika baada ya mfungo wa Ramadhan.
S2Kizzy ambaye ametayarisha ngoma nyingi zilizoshika namba 1 kwenye chart mbalimbali nchini amesema session moja studio na yeye itakuwa Tsh. Milioni 4.5.
S2Kizzy ameshafanya ngoma na Msanii Will.i.a.m wa kundi la Black Eyed Peas kutoka Marekani.