Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bongo kila kitu fix fix tuKuna msanii anadai kashamlipa hela ya nyimbo 10 .Milioni arobaini na tano.Nikasema tu hiiii.
Ila sisi waswahili ni hatari sana.halafu kesho muanze kumcheka??heshimuni watu kutokana na ubora wa kazi wanazofanya na walipwe stahili zao kabisa.Kama nafikiri muziki wake una thamani hiyo na akaidai mlipe au nenda kwa kina Uno.Kwanza hagongi beat kali kumshinda Franken na Duke
Hata kumfikia Owe bado
Wakina Uno wanakunyongea beat nzito unaweza kudhani kama ndio proffesional yao kumbe ni rappers tu
AmmyHivi ile beat ya Wapoloo ya Weusi nani aliitengeneza?
Kabisa.Eti vitu "conscious" 🤣 .Muziki ni biashara na kila biashara ina soko lake.Sasa kama hao aliowataja bwana mkubwa hapo wanafanya tu "conscious" na majority wanao stream na kukomba hizi nyimbo ni watu wa kidimbwi na watoto wa kike anategemea hao prodyuzaz watajulikana kama kina S2kizzy ambao wanafanya kila kitu??Wao ndiyo wajitahidi waohitaji masoko, the end is what justifies the means.
Kwa ground hii Industry ni ngumu mkuu,Huyu Ammywave nae ni shida nyingine mjini, jamaa ana kazi nzuri ila sijui kwanini amepoa sana.
Sikiliza ile beat kwenye nyimbo ya CountryWizy - YOU.
Usipokuwa makini unaweza hisi ni goma la ulaya huko[emoji1].
Basi msanii aimbe akapelaHii ndio downfall yake.
Producer wengi bongo ukishatangaza bei ya session ni km unawafukuza wasanii.
Rejea Kwa Burn record, Switch rec, na Ile studio ya Navy kenzo wote Chali.
Unacharge 4.5m na promo unafanya anafanya producer au
Una add value Gani Kwa msanii anaekupa Hela hyo
Unampa uhakika Gani wa millage ya wimbo wake
Mfano kufanya recording Moja Kwa Scott Stoch ni hela nyingi sana lakini anakupa uhakika wa ngoma Yako kuwa Bora na hit km isipokuwa hit mpunga anakurudishia vp s2kz.
Ushauri wangu, s2kz dharau na drama umekuwa nazo nyingi tangu uanze kufanya kazi na Mondi
Kibongobongo ni km umeshajipata hv na makopo yenu.
Master J ni mpenda pesa lakini hakuwa kuweka hadharani kiwango Cha kulipa artist.
Usiende sna mbio ndefu
Ni haki yake
Bongo bado tuna safari ndefu,nilisomaga kitabu Kimoja alichoandika 50 cent ndo nikajua mziki marekani una pesa yani producer kulipwa 50m kwa ngoma ni kawaida sana
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Maproducer kibongo bongo wanadharaulika sn, ila ndo wameupaisha sana muziki wetu. Yafaa walipwe vizurNi haki yake
Bongo bado tuna safari ndefu,nilisomaga kitabu Kimoja alichoandika 50 cent ndo nikajua mziki marekani una pesa yani producer kulipwa 50m kwa ngoma ni kawaida sana
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Yeah...mziki ukipanda thamani na pesa inakua nzuri piaMaproducer kibongo bongo wanadharaulika sn, ila ndo wameupaisha sana muziki wetu. Yafaa walipwe vizur
Shule haina madawati na ipo karibu na ikulu dah[emoji28][emoji28]Ulikipata wapi icho kitabu wkt bongo tuu shule ipo posta karibu na Ikulu na madawati amna
Mtoto anavimba sana huyuHii ndio downfall yake.
Producer wengi bongo ukishatangaza bei ya session ni km unawafukuza wasanii.
Rejea Kwa Burn record, Switch rec, na Ile studio ya Navy kenzo wote Chali.
Unacharge 4.5m na promo unafanya anafanya producer au
Una add value Gani Kwa msanii anaekupa Hela hyo
Unampa uhakika Gani wa millage ya wimbo wake
Mfano kufanya recording Moja Kwa Scott Stoch ni hela nyingi sana lakini anakupa uhakika wa ngoma Yako kuwa Bora na hit km isipokuwa hit mpunga anakurudishia vp s2kz.
Ushauri wangu, s2kz dharau na drama umekuwa nazo nyingi tangu uanze kufanya kazi na Mondi
Kibongobongo ni km umeshajipata hv na makopo yenu.
Master J ni mpenda pesa lakini hakuwa kuweka hadharani kiwango Cha kulipa artist.
Usiende sna mbio ndefu
Kimsingi hakuna kina Hanscana kama hakuna kina S2kizzyMnaolalamika mil 4.5 pesa nyingi naona mnaongea kimihemko sana, muziki una hela wakuu.
Wasanii wanatemgeneza pesa nyingi sana
Haiingii akilini audio na mixing ya wimbo ukatengeneze kwa laki 5 kwa s2kizzy afu video ukatengeneze kwa mil 10-15 kwa hanscana au kenny.
Huu ni unyonyaji kwa producer anaeiumizia kichwa nyimbo nzima from the scratch[emoji3525]
Bei ya audio automatically haiwezi kuendana na video achilia mbali walau kufika nusu ya gharama zake...Mnaolalamika mil 4.5 pesa nyingi naona mnaongea kimihemko sana, muziki una hela wakuu.