HII NDO MAANA YA KUJITAMBUA SASA,LAZIMA UTAMBUE THAMANI YA KITU UNACHOKIFANYA
Hii ndio downfall yake.Mtayarishaji wa muziki namba 1 kwa sasa Nchini Tanzania, S2Kizzy ametangaza kupandisha bei ya kurecord wimbo mmoja kwake ambapo bei hiyo itaanza kutumika baada ya mfungo wa Ramadhan.
S2Kizzy ambaye ametayarisha ngoma nyingi zilizoshika namba 1 kwenye chart mbalimbali nchini amesema session moja studio na yeye itakuwa Tsh. Milioni 4.5.
S2Kizzy ameshafanya ngoma na Msanii Will.i.a.m wa kundi la Black Eyed Peas kutoka Marekani. View attachment 2564957
Na wasanii wa bongo ni watu wa kwenda upepo utashangaa sa hvwanaenda kwa mr lg amesahau kuwa hata t touch miaka 2 mfululizo alkua anatoa hits lkn sa hv kimyaHii ndio downfall yake.
Producer wengi bongo ukishatangaza bei ya session ni km unawafukuza wasanii.
Rejea Kwa Burn record, Switch rec, na Ile studio ya Navy kenzo wote Chali.
Unacharge 4.5m na promo unafanya anafanya producer au
Una add value Gani Kwa msanii anaekupa Hela hyo
Unampa uhakika Gani wa millage ya wimbo wake
Mfano kufanya recording Moja Kwa Scott Stoch ni hela nyingi sana lakini anakupa uhakika wa ngoma Yako kuwa Bora na hit km isipokuwa hit mpunga anakurudishia vp s2kz.
Ushauri wangu, s2kz dharau na drama umekuwa nazo nyingi tangu uanze kufanya kazi na Mondi
Kibongobongo ni km umeshajipata hv na makopo yenu.
Master J ni mpenda pesa lakini hakuwa kuweka hadharani kiwango Cha kulipa artist.
Usiende sna mbio ndefu
utafikir ana kitu kipya sasa🤣🤣🤣Mtayarishaji wa muziki namba 1 kwa sasa Nchini Tanzania, S2Kizzy ametangaza kupandisha bei ya kurecord wimbo mmoja kwake ambapo bei hiyo itaanza kutumika baada ya mfungo wa Ramadhan.
S2Kizzy ambaye ametayarisha ngoma nyingi zilizoshika namba 1 kwenye chart mbalimbali nchini amesema session moja studio na yeye itakuwa Tsh. Milioni 4.5.
S2Kizzy ameshafanya ngoma na Msanii Will.i.a.m wa kundi la Black Eyed Peas kutoka Marekani. View attachment 2564957
AsanteHii ndio downfall yake.
Producer wengi bongo ukishatangaza bei ya session ni km unawafukuza wasanii.
Rejea Kwa Burn record, Switch rec, na Ile studio ya Navy kenzo wote Chali.
Unacharge 4.5m na promo unafanya anafanya producer au
Una add value Gani Kwa msanii anaekupa Hela hyo
Unampa uhakika Gani wa millage ya wimbo wake
Mfano kufanya recording Moja Kwa Scott Stoch ni hela nyingi sana lakini anakupa uhakika wa ngoma Yako kuwa Bora na hit km isipokuwa hit mpunga anakurudishia vp s2kz.
Ushauri wangu, s2kz dharau na drama umekuwa nazo nyingi tangu uanze kufanya kazi na Mondi
Kibongobongo ni km umeshajipata hv na makopo yenu.
Master J ni mpenda pesa lakini hakuwa kuweka hadharani kiwango Cha kulipa artist.
Usiende sna mbio ndefu
Ni beat maker coz kwenye mixing na mastering sio mzuriHivi huyu ni producer au beat maker tu
Ova
Kuna wahuni wanamsumbua kaona awasanue wanataka kufanya nae kazi wamlipe 4.5M view kwan shida ipo wapi?Master J ni mpenda pesa lakini hakuwa kuweka hadharani kiwango Cha kulipa artist.
Usiende sna mbio ndefu
WahuniHivi ile beat ya Wapoloo ya Weusi nani aliitengeneza?
Hakika.Hii ndio downfall yake.
Producer wengi bongo ukishatangaza bei ya session ni km unawafukuza wasanii.
Rejea Kwa Burn record, Switch rec, na Ile studio ya Navy kenzo wote Chali.
Unacharge 4.5m na promo unafanya anafanya producer au
Una add value Gani Kwa msanii anaekupa Hela hyo
Unampa uhakika Gani wa millage ya wimbo wake
Mfano kufanya recording Moja Kwa Scott Stoch ni hela nyingi sana lakini anakupa uhakika wa ngoma Yako kuwa Bora na hit km isipokuwa hit mpunga anakurudishia vp s2kz.
Ushauri wangu, s2kz dharau na drama umekuwa nazo nyingi tangu uanze kufanya kazi na Mondi
Kibongobongo ni km umeshajipata hv na makopo yenu.
Master J ni mpenda pesa lakini hakuwa kuweka hadharani kiwango Cha kulipa artist.
Usiende sna mbio ndefu
Alitengeneza Ammywave kutoka Switch RecordsHivi ile beat ya Wapoloo ya Weusi nani aliitengeneza?
Producer ni nani?Wahuni
Huyo ni beatmaker tu, mixing zake ni kwa Mixkiller au Lizer.Hivi huyu ni producer au beat maker tu
Ova