Bila Tsh. Milioni 4.5 haurekodi ngoma kwa Producer S2Kizzy a.k.a Zombie

Ushauri wangu, s2kz dharau na drama umekuwa nazo nyingi tangu uanze kufanya kazi na Mondi
Kibongobongo ni km umeshajipata hv na makopo yenu.
😂😂😁 ila watu humu wanajua kusagia kunguni aisee
 
Duuu kumbe alikuwa ana charge bie ndogo sana anawezaje kuishi maisha ya kisanii
 
Nasemaje Asumoney Beat Kidogo Pesa Mingi.
 
Kwanza hagongi beat kali kumshinda Franken na Duke

Hata kumfikia Owe bado

Wakina Uno wanakunyongea beat nzito unaweza kudhani kama ndio proffesional yao kumbe ni rappers tu
Si kweli, nimesikiliza album latest ya UNO, beat ni za ovyo, plus production mbovu. Watunge mashairi, wawape wataalamu kazi za production.

Ukisikiliza old school, toka kwa Master Jay, Majani, Bon luv, na wengine beat zilikuwa kali pamoja na sound engineering kuliko sasa hivi.
 
Beat gani ambayo Uno kaigonga afu ikawa mbovu?
 
Na wasanii wa bongo ni watu wa kwenda upepo utashangaa sa hvwanaenda kwa mr lg amesahau kuwa hata t touch miaka 2 mfululizo alkua anatoa hits lkn sa hv kimya
Yah wasanii wabongo huwa kweli wanaenda na upepo. Nimekumbuka kipindi cha touch kila ngoma ilikuwa ni touch kila ngoma.
Ila na s2kissy kakaa kinoma
 
Umesema kweli production mbovu sana hata mimi nakuunga mkono.
 
Ni vyema kuijua thamani yako. Inawezekana amefanya hivyo Kwa sbu ya kuwafanyia kazi wanaojinasib kwamba Muzik umewatoa. Ila Kwa Ambao Bado wanatafuta Tundu la kutokea itawaumiza. Kama kweli ni mbov wa mixing ameji overate( amejikuta).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…