Maandamano hamuwezi kuyafanya, cha ajabu kwenda kumpokea Lissu mumashujaa, lakin kuandamana kipinga siasa chafu mnaufyata mkia. Hakuna watu waoga, wanafiki, Fitna kama Watanzania.
1. Nyerere alitufukarisha hadi tukawa na unga wa jano,
2. Huko mtwara na lindi watu walikuwa wana Saga magamba ya miti kufanya unga.
3. Watu walishonesa maturubali na mashati ya plasric sheets.
4. Watu waliondokewa vijijini kwao na kutuowa pahali pasolipo kuwa na nyumba wala huduma.
Naye mafufuli mnayajua, enzi hiyo na ya 4 hakuna aliyefurukuta, na majabari yote ni wakimbizi wa kisiasa na wanapewa dole money, na hivi karibuni ama wapate kazi la sivyo itabidi wakabebe maboxi