Hoffenheim
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 1,077
- 2,505
Kwenye hizi mechi za Simba na Yanga nimejifunza mengi sana. Hizi mechi ndiyo picha halisi ya watu tunavyoishi. Nimegundua watu hatupendani 100%. Watu tunaombeana mabaya.Lile basi la Simba Lilipokuwa likirudi nyuma kwa kasi lilikuwa llinapunguza idadi ya magoli. Jana mnyama angetotolesha vitoto kumi
View attachment 2522706
Nimejifunza mipango yangu au mambo nayotaka kufanya inakuwa siri yangu. Hata mke wangu siwezi kumwambia.