Hoffenheim
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 1,077
- 2,505
Kwenye hizi mechi za Simba na Yanga nimejifunza mengi sana. Hizi mechi ndiyo picha halisi ya watu tunavyoishi. Nimegundua watu hatupendani 100%. Watu tunaombeana mabaya.Lile basi la Simba Lilipokuwa likirudi nyuma kwa kasi lilikuwa llinapunguza idadi ya magoli. Jana mnyama angetotolesha vitoto kumi
View attachment 2522706
Jifunze kunyamaza, ukishindwa mwombe Mungu akufundisheKwenye hizi mechi za Simba na Yanga nimejifunza mengi sana. Hizi mechi ndiyo picha halisi ya watu tunavyoishi. Nimegundua watu hatupendani 100%. Watu tunaombeana mabaya.
Nimejifunza mipango yangu au mambo nayotaka kufanya inakuwa siri yangu. Hata mke wangu siwezi kumwambia.
Lile basi la Simba Lilipokuwa likirudi nyuma kwa kasi lilikuwa llinapunguza idadi ya magoli. Jana mnyama angetotolesha vitoto kumi
View attachment 2522706
Mpira wetu Tanzania hauwezi kuendelea kwasababu uchawi ni mwingi sana.Unampelekea mwarabu matako !anaachaje?lazima akupumulie
oh kumbe?Lile basi la Simba Lilipokuwa likirudi nyuma kwa kasi lilikuwa llinapunguza idadi ya magoli. Jana mnyama angetotolesha vitoto kumi
View attachment 2522706
Mfano jana mashabiki wa Yanga walifanya kitu gani kilichosababisha Simba afungwe?Mpira wetu Tanzania hauwezi kuendelea kwasababu uchawi ni mwingi sana.
Fitina mpaka kwenye ligi za nje, ingikuwa mechi za NBC ni sawa.
Mashabiki wa Simba au Yanga wapo radhi wafanye lolote kwenye mechi za nje timu mojawapo ishindwe.
Hapo hapo mnataka kombe la shirikisho au klabu bingwa lije Tanzania.
WaIiimba mIete mzunguMfano jana mashabiki wa Yanga walifanya kitu gani kilichosababisha Simba afungwe?