PreGE2025 Bila VPN hauwezi kuingia X (Twitter) Tanzania. Vipi huko mnaotumia Facebook na Instagram?

PreGE2025 Bila VPN hauwezi kuingia X (Twitter) Tanzania. Vipi huko mnaotumia Facebook na Instagram?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kweli inagoma.

Zile documents za Mange na spana za wakenya bila shaka ndio zitakuwa zimechangia huu uamuzi.

Hata hivyo, hawawezi kuzuia vuguvugu la mabadiliko.

Anyway, ngoja tusubiri maana sometimes huwa inagoma kwa muda halafu baadae inakubali. Ila huwa ni ndani ya dakika chache sana.

Kwahiyo, wacha tuone kama itaendelea kugoma maana hata wakati wa Jiwe walifanyaga kitu kama kumbukumbu zangu ziko sawa.
 
Mafile ya wanavyoiba pesa za masikini walipakodi yameanza kurusha huko X na Insta na dada Mange so wameamua wazifungie tu isiwe tabu Watanzania muendelee kusikiliza habari za Simba na Yanga Wasafi Fm na Crown FM
 
Kweli inagoma.

Zile documents za Mange na spana za wakenya bila shaka ndio zitakuwa zimechangia huu uamuzi.

Hata hivyo, hawawezi kuzuia vuguvugu la mabadiliko.

Anyway, ngoja tusubiri maana sometimes huwa inagoma kwa muda halafu baadae inakubali. Na huwa ni ndani ya dakika chache sana.

Wacha tuone kama itaendelea kugoma maana hata wakati wa Jiwe walifanyaga kitu kama kumbukumbu zangu ziko sawa.
Watakuwa wajinga maana documents za Mange inaonekana amevujisha mtu wa ndani huko huko kwa kuchukua video na picha. Na amevujisha kwakuwa anaonekana hajapendezwa na huo wizi.
 
Back
Top Bottom